kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,816
- 6,531
Mambosasa angeingia kuokoa jahazi na tbc nao wangekata "gafula" matangazo[emoji2][emoji2][emoji2]Sure mkuu. Zitto yupo vizuri sana up stairs. Huwezi kubishana naye kama hujajipanga. Natamani kama pangekuwa na mdahalo kati yake na mkulu kuhusu hii issue, halafu uwe live [emoji23] [emoji23]. Hapo tungemaliza ubishi kiroho safi.