Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Kuhusu data: Zitto "ambishia" Rais Magufuli

Mbona CAG huwa kila mwaka anakagua tu ayo makusanyo. Isitoshe skuizi tax zinalipwa mojakwamoja bank ambapo kwa wakati huo huo inaonekana kweny tax systems zilizopo na bot. Ni kujiongeza tu kdg kutafuta ukweli.
Mfano makusanyo Ya Domestic Revenue peke yake hayajawai kushuka 600bn kwa mwaka wa pili sasa hapo bado hujajumuisha customs na non tax revenues kama leseni, kodi za majengo, ushuru wa bandari n.k
 
Hakuna upuuzi kama hizi siasa zetu za kuwachochea wananchi,huyu Zitto mara utaambiwa anatumika na ccm mara ni msaliti basi hata haieleweki.
 
Sisi tumeshachoka na haya mambo yenu tunasubiri 2020 tuu tumpige risasi kwenye sanduku la kura....imetosha kuongozwa na baba jesca...na kama ikitokea nchi inasajiri wananchi ntakwenda huko
Bahati mbaya maamuzi ya tume hayatenguliwi wala kuhojiwa na chombo chochote.. tukisharekebisgha hapo basi unaweza kutumia kichinjio chako na ikaleta maana.. otherwise utapanga foleni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi upige kura saa sita mchana yet wapo ambao wanajua raisi ni nani tayari
 
Asili ya watu wa kigoma;
  1. Wabishi sana (anaweza kuamua kubadili jina la migebuka na kuita mikongo) na akakubishia
  2. Ni wepesi kurubuniwa
  3. Si wa kuwaamini sana
ZZK ni moja ya watu wanafiki sana, nadhani sasa tusubiri mkono wa serikali uhusike naye, maana anachokitafuta anakijua mwenyewe, hakuna aliyebaki salama kubishana na UWT!

Pole sana ZZK, maana wanachama wanazidi kukukimbia na kibaya hata huko KGM huna lako, 2020 wananchi hawakupi kura, sasa sijui utafanyejej ewe mnafiki
mnafiki wewe najua msumari umegonga kwenye kidonda
 
Hakuna upuuzi kama hizi siasa zetu za kuwachochea wananchi,huyu Zitto mara utaambiwa anatumika na ccm mara ni msaliti basi hata haieleweki.
Kuna watu wanaitwa UKUKU kusifia kila kitu. Watu wanaojielewa hufanya kulingana na jambo,ukizingua unamzinguliwa ukishine wanakushainisha. Sasa unategemea alete hoja inayoendana na misimamo yao wampinge?tumia akili ya kawaida ndugu
 
Laiti kungekuwa na benki ya hekima au busara kama ilivyo kwa damu na fedha, basi tawkimu za hiyo benki zingetuonyesha jinsi tulivyo pungukiwa na hekima katika uongozi Awamu ya 5 kwa kiwango cha kutisha na kusikitisha mno.

Kwa namna hii ya uongozi ni sahihi kabisa mkuu akielezwa ukweli na kasoro zilizoko ili ajirudi tusonge mbele. Akiendelea namna hii atakuwa anathibitisha matokea ya kushindwa vibaya kumudu kiti na majukumu yake.
 
Kuna watu wanaitwa UKUKU kusifia kila kitu. Watu wanaojielewa hufanya kulingana na jambo,ukizingua unamzinguliwa ukishine wanakushainisha. Sasa unategemea alete hoja inayoendana na misimamo yao wampinge?tumia akili ya kawaida ndugu

Sunzu unakuja lini tena Shinyanga ulifumaniwa na yule mwanamke na Polisi?? Nataka nikupe michembe!!
 
Zitto hajui Chadema wametumia miaka 20 kujenga chama chao yeye anataka miaka miwili tu ACT kiwe chama kikuu cha upinzani.Chadema aamkeni
ZZK anaijua CDM kuliko unavyoijua ww. Ameshiriki kuijenga kwa miaka 16 kwa hyo hakuna asichokijua. Ndani ya ACT pamoja na misukisuko midogo unayoiona mambo yanakwenda mbele.
 
Kuna watu wanaitwa UKUKU kusifia kila kitu. Watu wanaojielewa hufanya kulingana na jambo,ukizingua unamzinguliwa ukishine wanakushainisha. Sasa unategemea alete hoja inayoendana na misimamo yao wampinge?tumia akili ya kawaida ndugu
Kwa kutumia akili ndiyo nimeona kuwa kuna mambo hayaingii akilini,kwa jinsi Zitto anavyoelezewa ni ngumu leo kuona anapingana na Magufuli.

Mimi sijawahi kufikiri Zitto ni msaliti na anatumika na ccm kuuwa upinzani pale atakapoongea jambo ambalo napingana nalo,ila kuna watu wakiona Zitto kaongea jambo lisilowafurahisha basi huanza kumwita msaliti na anatumika na ccm.
 
Zitto hajui Chadema wametumia miaka 20 kujenga chama chao yeye anataka miaka miwili tu ACT kiwe chama kikuu cha upinzani.Chadema aamkeni
ZZK anaijua CDM kuliko unavyoijua ww. Ameshiriki kuijenga kwa miaka 16 kwa hyo hakuna asichokijua. Ndani ya ACT pamoja na misukisuko midogo unayoiona mambo yanakwenda mbele.
 
Ninyi endeleeni kuingia mkenge. Huyo ni kete inayojishikiza upinzani. Ana hoja nzuri sana ila lengo lake si zuri. Sasa hivi anajitutumua kuiteka mioyo ili aje iwapasue vizuri.
 
Kwa kuwa bando ni lako,Basi Sawa...

Back
Top Bottom