...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

...Kuhongwa na mwanaume wako raha aisee!

Kwa malipo ya K?

K kitu gani bana, hata mbuzi wanazo tena wanazinika juani.

Hongo nzuri kwa mwanamke ni kumpiga mashine kisawasawa mpaka usingizi umchukue kabla hajaenda kuosha K yake.

Nazungumzia uzoefu.

babu una vituko wewe
 
nenda kamuulize babu yako hii ni ipo toka enzi hizo,haijaanza leo

Tugawane kazi,wewe kamuulize BIBI YAKO tofauti kati yao na mabinti wa kisasa wa siku hizi. Ukileta majibu ya BIBI yako mie nitaleta ya BABU yangi.Mia
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana ake,jiulize kwann binti ukigegeda ukimaliza ndo anapiga mizinga! Aah simu imeharibika,naomba hela ya salun,ninunulie galaxy,opa n.k

Hawafai hata kidogo!
 
Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati yupo mbali sana na hela ya mpenziwe....Ila bahati mbaya mliyo nayo wajukuu zangu hawa wa awamu yenu ni WAUZAJI japo hilo neno linawakera ila "tutalisema tu, maana tumechoka......" Hamna kivutio cha mapenzi penye pesa na hamna kivutio cha pesa kwenye mapenzi ila kuna kivutio cha mapenzi kwenye tamaa na kivutio cha pesa kwenye tamaa.....kimahesabu mapenzi ya pesa ni tamaa.
Hili lina ukweli japokuwa hawautaki!
 
sijawahi omba chochote toka kwa mwanaume....
Yes, kuna raha kuhongwa..... mtazamo wangu naona kuna raha zaidi kama unapewa bila kuomba.
Yaani ile kuona tu mtu amekufikiria na kuamua kukuletea hela/kitu ni raha tosha, hata kama ni kakitu kadogo

Umeongea ukweli my dear..
na mi naona tatizo linakuja pale mwanamke anapodemand vikubwaa sana au pale mwanaume anapokua mpokeaji tu,hatoi chochote i.e hata hicho kidogo
pale kunapokua na equillibrium sidhani kama kuna shida.
Na pia,sijui kwanini ila naona baadhi ya wanaume wanalalamika sana yani mtu kamtumia g.f vocha ya elfu tu atavyokuja huku na kuanza kusema g.f/mke anapenda hela dah!
na tena inategemea mahusiano yenu mmebase kwenye nini if its s..x (mwanaume) na money (mwanamke)..usilalamike.
shida ni pale unapomchukulia mtu kama mke and anakuchukulia kama ATM machine
 
ni kweli mkuu lakini siku zote hali ya mwenzako inajulikana , na pia ni vyema mazingira ya utoaji yakawa tofauti . mfano ni heri wangekuwa katika mazingira ya kawaida ndo mtu aombe kulikoni amalizapo tendo ndo aombe pale inaweza kuonyesha kama umelipia tendo ..

Hata kwenye mazingira mengine inakuwa na utata wakati anaeomba anakuwa amejitosheleza
Hiyo ni dalili mbaya sana!
 
Tugawane kazi,wewe kamuulize BIBI YAKO tofauti kati yao na mabinti wa kisasa wa siku hizi. Ukileta majibu ya BIBI yako mie nitaleta ya BABU yangi.Mia

Safi sana!!!!!!!!!!!!!
 
upendo unaenda na kutoa vitu mabali mbali kama pesa, nguo na n.k hata kama ninavyo. na maana ya kutoa kitu haina maana kwamba sina hicho kitu bali ni upendo tu na shukrani basi, though baadhi ya wanawake wanajua kupokea zaidi kuliko kutoa but haimaanishi wanaume ndo muache kutoa okey.....
 
Back
Top Bottom