Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

Naona unatafuta namna ya kutudanganya wanyama hawawezi kuvuka mto kagera tuongee mengine lakini siyo ya kuinufaisha Rwanda.
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.

Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.

Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.

Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.

Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.

Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k

Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?

Natamani sana Watanzania wote tungekuwa ni Wanyarwanda tu huenda leo tungekuwa mbali Kimaendeleo na Kiutendaji pia.
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.

Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.

Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.

Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.

Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.

Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k

Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Wametoroka wote mkuu
 
Wametorokaje wakati pale kuna mto kagera. Kabla ya kuingia Akagera national park lazima uvuke mto Kagera. Kwa hio hadi twiga wanaogelea kuvuka ng'ambo ya pili?
Wametoroka wote mkuu
 
Acha uongo Pori la burigi lipo muleba , biharamulo na sehemu ndogo ya karagwe sio ngara.



Kwa hiyo kitu chochote kisifanye kagera Kwa kuwa IPO karibu na Rwanda? Au Uganda au Burundi


Pungunzeni ujinga na ukanda
Boresheni mfumo wa elimu wajinga wapungue!
 
Wametorokaje wakati pale kuna mto kagera. Kabla ya kuingia Akagera national park lazima uvuke mto Kagera. Kwa hio hadi twiga wanaogelea kuvuka ng'ambo ya pili?

Kila mara nyumbu wanavuka mto mara kwenda Kenya, huo mto Kagera una moto mpaka uje na huu Utetezi wa kupuuzi? Huo mto huwa umejaa mwaka mzima mpaka pomoni useme wanyama watashindwa kuvuka? Mnaingizwa mjini huku mmefunikwa blanketi la uzalendo uchwara wala hamjui kuwa kumekucha.
 
Wakati mkuu anajenga uwanja wa ndege Chato walimtukana na kumwona mjinga. Sasa leo umuhimu wa huo uwanja unaanza kuonekana, pia hii itakuza uchumi sio kwa Kagame pekee bali wilaya za Chato, muleba, Biharamulo, Bukoba, Ngara, Karagwe. Ni move nzuri inatakiwa kuanza sasa.
samahani mkuu, safari za ndege zinaendeleaje hapo Chato International Airport??
 
Unafikiri awajui kwa nini wanafanya hivyo kifupi wanajua wanafanya nn na kwa nn wanafanya hivyo ilikuwa ngumu kipindi hiki kuchukua wanyama kwa ndege kupeleka Rwanda ndio maana wakaona watumie njia hiyo ili uendelee kuamini kuwa hii ni serikali makini kuliko zote duniani lkn CCM ni ile ile
Huko uliko unajisikiaje mkuu ??
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.

Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.

Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.

Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.

Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.

Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k

Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
We call this jealous jealous! !na ku fail kujitangaza
Mkuu askofu shoo ametoka kuonya na kutuasa juzi ya kwamba watanzania ongeeni ukweli ili kusaidia taasisi zetu za dini (misikiti na makanisa ) serikali na watu ,hulka ya kujikaza kuongea uongo kwa kushabikia tu mrengo fulani ni sumu mbaya sana ,wewe sio mkuu wa mkoa ,wilaya wala mtumishi wa umma mwenye cheo ,na hata ungekuwa hapa una fake ID ,Mkuu unashindwa kusema ukweli sebuleni sawa unamuogopa baba,na chooni unaongea tena uongo bosi wangu?

Hivi kuna umuhimu gani wa kujenga uwanja wa ndege chato kisa kufufua mbuga kwa kuhamishia wanyama ,hivi mbuga zenye wanyama wengi na kubwa kama katavi ,kigoma (gombe na mahale) zina uwanja wa bil 39 kama huo wa katavi mbuga ambazo mungu kaziweka kwa mikono yake hamjazitumia hata robo ,mnaanza kutengeneza mbuga ya lazima mahali ambapo wanyama hawajapachagua ? wanyama hujichagulia wenyewe kwa kuishi ndo maana serengeti ina kila kitu lakini hakuna soko mtu wako zao kigoma,simba wa ruaha na manyara wako tofauti kitabia wa ruaha wapole na wazito ,wa manyara wanapanda hadi miti ina maana asili iliwachagulia hivyo kwa zaidi ya miaka 400,kama unabisha hamishia chura wa kihansi mto ruvuma wanakufa siku hiyo hiyo .chui wa serengeti wanajua wapi pa kupata riziki na hata huwezi ona chui amepotea kaenda makazi ya watu ,sasa leo unamtupa chato lazima ale sana wanakijiji maana hajui swala wanajificha wapi hata wewe unajua kutafuta pesa mji uliopo ukihamishiwa nairobi bila mtaji utaanza na kukaba watu ,je wanyama wanafanyaje?
Mh Magufuli haoni nyerere hakufanya hivyo butiama.mwinyi hakufanya hivyo,kikwete hakulazimisha jambo bagamoyo ,mkapa hakujenga maflyover mtwara ,mh ni raisi mzuri na mimi personally nampenda sio kinafiki maana hapa ni fake ID hata nikimtukana hatojua ,ila yes nampenda ,lakini kwenye chato anakosea miji huwa inastawi yenyewe kwa neem zake hakuna mji wa kulazimishwa na wanadamu ,hakuna siku dodoma itaikuta dar wala hakuna mkazi wa dar anaetaka kwenda dodoma itahama serikali sio watu ukitaka uiue arusha ,sitisha uchimbaji madini na utalii kaskazini ndani ya miaka mitano chato na arusha mjini zitakuwa sawa kimapato
Wivu wivu! Mnashindwa kujitangaza alfu mnaanza geukia majilani eti sijui nini? Haya yote shida ni elimu tu!ukiwa na vitu then ukashindwa ku vi benefit lazima lawama kwa jilani tu.
 
Wametorokaje wakati pale kuna mto kagera. Kabla ya kuingia Akagera national park lazima uvuke mto Kagera. Kwa hio hadi twiga wanaogelea kuvuka ng'ambo ya pili?
Ni vyema ukawafuata ukawauliza mmevukaje hapa , watakwambia
 
IMG-20191206-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom