Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

... hawataharibu ikolojia ya huko kweli? Hao wanyama wanapelekwa kwa ratio ipi kwa kila specie? Siku simba wakikosa kitoweo watageukia binadamu.
 
Wakati mkuu anajenga uwanja wa ndege Chato walimtukana na kumwona mjinga. Sasa leo umuhimu wa huo uwanja unaanza kuonekana, pia hii itakuza uchumi sio kwa Kagame pekee bali wilaya za Chato, muleba, Biharamulo, Bukoba, Ngara, Karagwe. Ni move nzuri inatakiwa kuanza sasa.
Tumbaf
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Burigi iko Ngara? Hujui mipaka nyamaza. Bora ungesema Kimisi ambayo iko Karagwe na Ngara. Burigi iko Karagwe, Muleba na Biharamulo japo wamechomeka Chato ingawa haipo
 
Mkuu askofu shoo ametoka kuonya na kutuasa juzi ya kwamba watanzania ongeeni ukweli ili kusaidia taasisi zetu za dini (misikiti na makanisa ) serikali na watu ,hulka ya kujikaza kuongea uongo kwa kushabikia tu mrengo fulani ni sumu mbaya sana ,wewe sio mkuu wa mkoa ,wilaya wala mtumishi wa umma mwenye cheo ,na hata ungekuwa hapa una fake ID ,Mkuu unashindwa kusema ukweli sebuleni sawa unamuogopa baba,na chooni unaongea tena uongo bosi wangu?

Hivi kuna umuhimu gani wa kujenga uwanja wa ndege chato kisa kufufua mbuga kwa kuhamishia wanyama ,hivi mbuga zenye wanyama wengi na kubwa kama katavi ,kigoma (gombe na mahale) zina uwanja wa bil 39 kama huo wa katavi mbuga ambazo mungu kaziweka kwa mikono yake hamjazitumia hata robo ,mnaanza kutengeneza mbuga ya lazima mahali ambapo wanyama hawajapachagua ? wanyama hujichagulia wenyewe kwa kuishi ndo maana serengeti ina kila kitu lakini hakuna soko mtu wako zao kigoma,simba wa ruaha na manyara wako tofauti kitabia wa ruaha wapole na wazito ,wa manyara wanapanda hadi miti ina maana asili iliwachagulia hivyo kwa zaidi ya miaka 400,kama unabisha hamishia chura wa kihansi mto ruvuma wanakufa siku hiyo hiyo .chui wa serengeti wanajua wapi pa kupata riziki na hata huwezi ona chui amepotea kaenda makazi ya watu ,sasa leo unamtupa chato lazima ale sana wanakijiji maana hajui swala wanajificha wapi hata wewe unajua kutafuta pesa mji uliopo ukihamishiwa nairobi bila mtaji utaanza na kukaba watu ,je wanyama wanafanyaje?
Mh Magufuli haoni nyerere hakufanya hivyo butiama.mwinyi hakufanya hivyo,kikwete hakulazimisha jambo bagamoyo ,mkapa hakujenga maflyover mtwara ,mh ni raisi mzuri na mimi personally nampenda sio kinafiki maana hapa ni fake ID hata nikimtukana hatojua ,ila yes nampenda ,lakini kwenye chato anakosea miji huwa inastawi yenyewe kwa neem zake hakuna mji wa kulazimishwa na wanadamu ,hakuna siku dodoma itaikuta dar wala hakuna mkazi wa dar anaetaka kwenda dodoma itahama serikali sio watu ukitaka uiue arusha ,sitisha uchimbaji madini na utalii kaskazini ndani ya miaka mitano chato na arusha mjini zitakuwa sawa kimapato
Upo sawa kwenye maoni yako ila haupo sawa kuwa fake I'd itakulinda ukitukana. usidanganyike. Ukitukana tukana ovyo hakikisha una back up ya kukulinda nje ya JF na fake I'd. Si salama kwa kiwango unachofikiri, wanaotukana humu unaweza kuta hawazidi kumi na multiple id's na wanajua wenyewe watachomoka vp mambo yakienda vibaya. If you ain one of them usidanganyike
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Watawachunga kama mbuzi
 
Bitter truth

Hongera Mkuu umeongea kwa hisia kwa kuzingatia uhalisia.
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Haishangazi sababu mwenyekiti na katubu mkuu wa chama chetu ni wanyarwanda, wananeemesha kwao
 
Nchi hii ina wapumbavu wengi akiwamo Mtoa Mada, mnaendeshwa na chuki tu kuliko uhalsia, wizara ya maliasili ipo mnashindwa nini kwenda kwenye website yao kupata ukweli au kuwasiliana na wizara kazi umbea na upotoshaji tu

BTW Kwani Chato sio Tanzania?
Hifadhi ya Rubondo ipo hukohuko Mbona hamlalamiki na ilipelekewa wanyama?

Tuache chuki na ujinga
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Acha uongo Pori la burigi lipo muleba , biharamulo na sehemu ndogo ya karagwe sio ngara.

Kwa hiyo kitu chochote kisifanye kagera Kwa kuwa IPO karibu na Rwanda? Au Uganda au Burundi

Pungunzeni ujinga na ukanda
 
Hiv huwa mnafanya research kabla ya kuongea?

Hiv wanyama watavukaje mto kagera kwenda Rwanda?

Na hifadhi ya burigi wala haipo ngara wala chato
Screenshot_20190612-213748.jpeg
 
Unafikiri awajui kwa nini wanafanya hivyo kifupi wanajua wanafanya nn na kwa nn wanafanya hivyo ilikuwa ngumu kipindi hiki kuchukua wanyama kwa ndege kupeleka Rwanda ndio maana wakaona watumie njia hiyo ili uendelee kuamini kuwa hii ni serikali makini kuliko zote duniani lkn CCM ni ile ile...
Hiv watavukaje mto kagera?
 
Wacha kufikiria kwa kutumia kalio, Kwanza hiyo Hifadhi ya Rubondo - Chato ipo Mkoani Kagera. Imepakana na wilaya 3 ambazo ni Karagwe, Biharamulo na Muleba. Ngara imepakana kidogo na Hifadhi ya Kimisi ambayo haijapelekewa wanyama kwa sababu huwa wapo miaka yote. Na kuhusu wanyama kuvuka Rwanda na Rwanda zimetenganishwa na mto Kagera ambao sio rahisi kuvuka kwa wanyama kutokana na kimo cha mto.
 
Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Magufuli alikubaliana na kagame ili wanyama wasogezwe karibu ili wakishahamia Rwanda Kagame mnafunga geti ili wanyama wasirudi tz
 
Wacha kufikiria kwa kutumia kalio, Kwanza hiyo Hifadhi ya Rubondo - Chato ipo Mkoani Kagera. Imepakana na wilaya 3 ambazo ni Karagwe, Biharamulo na Muleba. Ngara imepakana kidogo na Hifadhi ya Kimisi ambayo haijapelekewa wanyama kwa sababu huwa wapo miaka yote. Na kuhusu wanyama kuvuka Rwanda na Tanzania zimetenganishwa na mto Kagera ambao sio rahisi kuvuka kwa wanyama kutokana na kimo cha mto
 
Hakuna sehemu Rwanda imeungana na Tanzania kwa aridhi zaidi ya mpaka wa daraja la Rusumo

Back
Top Bottom