Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

Kuhamishia wanyama huko Burigi: Neema kwa Rwanda

Wacha kufikiria kwa kutumia kalio, Kwanza hiyo Hifadhi ya Rubondo - Chato ipo Mkoani Kagera. Imepakana na wilaya 3 ambazo ni Karagwe, Biharamulo na Muleba. Ngara imepakana kidogo na Hifadhi ya Kimisi ambayo haijapelekewa wanyama kwa sababu huwa wapo miaka yote. Na kuhusu wanyama kuvuka Rwanda na Tanzania zimetenganishwa na mto Kagera ambao sio rahisi kuvuka kwa wanyama kutokana na kimo cha mto
Rubondo National Park iko mkoa wa Mwanza na siyo Geita ambako Wilaya ya Chato ipo. Kwa hiyo Chato haina National Park. Chato imekuja kupachikwa kama sijui Brand Name eti wakaiita Burigi-Chato National Park wakati Burigi iko Wilaya ya Biharamulo, Muleba na Karagwe
 
Soma ramani mto kagera umeushia wapi
Hiyo Hifadhi waliyopelekwa wanyama hiko mbali sana na Rwanda kuliko hata Hifadhi ya Ibanda game reserve inayopakana na Rwanda na Uganda ikiwa imetanganishwa na nchi hizo kwa mto Kagera tu. Kama ingekuwa kuwahamushia Rwanda kwa nini wasingewapeleka Ibanda wawapeleke Burigi? Tusihukumu bill kuwa na taarifa sahihi
 
Ic wanyama wakishaona ng'ambo ya pili wanaongelea sana - angalia ile channel ya dstv- discovery au plannet earth
 
Kuna hadithi moja inasema ivi

Mzungu alimeambia mchaga tufanye biashara ya paka....mchaga akasema nani atanunua? Akasema usihofu nenda kijiji cha mbali anza kufuga paka wengi mno.........mchaga akafanya ivo.
Mzungu akazunguka vijiji vua karibu akinunua paka...akaanza kwa elfu kumi...ikaja elfu hamsini paka wakaisha kabisa vijiji vile...akatangaza sasa ananunua kwa laki na ishirini...akaja mtu kutoka kijiji cha yule mchaga akasema huko nitokapo kuna mtu ana paka hatari....wanakijiji wale wakakimbilia kule na mchaga anauza paka moja shilingi elfu themanini....akauza wooote...wakarudi kijijini mzungu hayuko na paka hawana pa kupeleka.

Sasa jamani ni tuwe makini tu na Kagame.
 
Naunga mkono hiyo hifadhi ya burigi lakini kuipa jina la chato national park ni wizi na kujipendekeza kulikopitiliza!! Yaani ziwa limepakana na wilaya ya karagwe biharamulo na muleba na zote zipo mkoani kagera lakini jina likapewa chato!!! Huu ni uzandiki
Rubondo National Park iko mkoa wa Mwanza na siyo Geita ambako Wilaya ya Chato ipo. Kwa hiyo Chato haina National Park. Chato imekuja kupachikwa kama sijui Brand Name eti wakaiita Burigi-Chato National Park wakati Burigi iko Wilaya ya Biharamulo, Muleba na Karagwe
 
Wewe unapafahamu vizuri watu wangejikita katika kushutumu jina la hifadhi kupewa chato national park mengineyo ni chuki binafsi tu
Hiyo Hifadhi waliyopelekwa wanyama hiko mbali sana na Rwanda kuliko hata Hifadhi ya Ibanda game reserve inayopakana na Rwanda na Uganda ikiwa imetanganishwa na nchi hizo kwa mto Kagera tu. Kama ingekuwa kuwahamushia Rwanda kwa nini wasingewapeleka Ibanda wawapeleke Burigi? Tusihukumu bill kuwa na taarifa sahihi
 
Burigi iko Ngara? Hujui mipaka nyamaza. Bora ungesema Kimisi ambayo iko Karagwe na Ngara. Burigi iko Karagwe, Muleba na Biharamulo japo wamechomeka Chato ingawa haipo

unaijua hifadhi iliyopewa jina la Chato-Burigi?

Halafu katika masuala ya Hifadhi, Ngara, Biharamulo ni almost zone moja tu katika masuala ya wanyama, rahisi wanyama kwenda to and fro.

Ambao wanasema wanyama watavukaje mto Kagera, wajiulize kwani Wanyarwanda huwa wakija kulisha ngo'ombe wao katika mapori ya Tanzania huwa wanawapitisha wapi?
 
Naijua vizuri kama mwenyeji na najua Chato haina uhusiano na Burigi. Kuhusu kuvuka kwenda Rwanda nakubaliana na wewe Burigi iko mbali na Rwanda labda wangesema wanyama wanapelekwa Kimisi hapo ni rahisi wanyama kuvuka mto Kagera mfano ukiwa Kaberenge mto unakuwa mfupi na wanyarwanda waiba sana ng'ombe wa Karagwe kwa kuwavusha mto
 
Rubondo National Park iko mkoa wa Mwanza na siyo Geita ambako Wilaya ya Chato ipo. Kwa hiyo Chato haina National Park. Chato imekuja kupachikwa kama sijui Brand Name eti wakaiita Burigi-Chato National Park wakati Burigi iko Wilaya ya Biharamulo, Muleba na Karagwe
Acha ujuha Mkuu Rubondo ipo Mkoa wa Geita sio Mwanza
 
Inabidi tujitahidi kujenga mabwaya mengi ya maji upande wa tanzania manake wanyama huwa wanahama kutafuta maji so kama yanapatikana Tanzania huko rwanda hawataenda
 
Hili wazo la kuhamisha wanyama inawezekana kapewa na rafiki yanke wa Rwanda.
 
Mtoa mada kabla ya kujaribu kushusha shutuma, jaribu kufanya utafiti. Hapo kwenye mstari mweupe jirani na Kimisi ndiyo mpaka wa Rwanda huo na Tanzania. Burigi haipo karibu nao
Screenshot_20190613-115349.jpeg
 
Sijui kipi kifanyike ili ionekane ni sawa.
Mwanzoni tulisema eti pori la Burigi limevamiwa na Wanyarwanda wafugaji na kutoa waraka wakati ule.
Leo linafanyika jambo la kuhuisha na kuliwezesha Pori lile kuwa Hifadhi kamili ya Taifa ili lilindwe kama ambavyo yalivyo kuwa mapori mengine kabla ya Uhuru,tuanza kulalamika.
Uanzishwaji wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi utakuza uchumi na kulinda rasilimali za Taifa zilizosahaulika hasa katika Mikoa iliyo Ukanda wa Maziwa Makuu.
Si vibaya kwa maeneo mengine ambayo zipo rasilimali ukawepo utaratibu mahsusi wa kuendeleza kwani utakuza vyanzo vya mapato ya Taifa hivyo kuchochea maendeleo.
 
Naunga mkono hiyo hifadhi ya burigi lakini kuipa jina la chato national park ni wizi na kujipendekeza kulikopitiliza!! Yaani ziwa limepakana na wilaya ya karagwe biharamulo na muleba na zote zipo mkoani kagera lakini jina likapewa chato!!! Huu ni uzandiki
Jina sio issue.
Pengine imekuwa hivyo ili kupata brand name moja inayojumuisha na uwepo wa Uwanja wa ndege wa kimaitaifa.
 
Back
Top Bottom