Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Jamani maendeleo hayana mipaka
Jina sio issue.
Pengine imekuwa hivyo ili kupata brand name moja inayojumuisha na uwepo wa Uwanja wa ndege wa kimaitaifa.
Njia sahihi ya kukuza CHATO BURIGI NATIONAL PARKTumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
Hamna shida kiongozi.Kalazimisha tu sababu ya urais wake lakini haihusiani ni rahisi angekiita kisiwa cha rubondo kama chato national park lakini sio hiyo hifadhi ya burigi
Ubinafsi wa hali ya juuHamna shida kiongozi.
Kuna hata ambao ni dini fulani kwa jina lakini matendo ni tofauti na dini yake.
Kikubwa ni kulinda rasilimali na kukuza pato LA Taifa.
Kwa mfano inaweza kuwa bora zaidi kupata mkoa wa Chato kama ambavyo ulivyo Mkoa wa Kilimanjaro wenye mlima mrefu kuliko yote Afrika.
Huo ukanda maji sio ya kutafuta ni yapo asilimia kubwa ya feeders za Lake Victoria zipo Magharibi ya ziwaInabidi tujitahidi kujenga mabwaya mengi ya maji upande wa tanzania manake wanyama huwa wanahama kutafuta maji so kama yanapatikana Tanzania huko rwanda hawataenda
Miaka ya nyuma jamii za maeneo mengine zilihisi labda maeneo yao yalitengwa kimaendeleo,kumbe tatizo lilikuwa muda haujsfika.Ubinafsi wa hali ya juu
Robondo ipo Mkoa wa Mwanza?[emoji3][emoji3][emoji3]Rubondo National Park iko mkoa wa Mwanza na siyo Geita ambako Wilaya ya Chato ipo. Kwa hiyo Chato haina National Park. Chato imekuja kupachikwa kama sijui Brand Name eti wakaiita Burigi-Chato National Park wakati Burigi iko Wilaya ya Biharamulo, Muleba na Karagwe
Hujanishawishi bado katika hiliMiaka ya nyuma jamii za maeneo mengine zilihisi labda maeneo yao yalitengwa kimaendeleo,kumbe tatizo lilikuwa muda haujsfika.
Hivyo linapofanyika jambo juu yao sio ubinafsi na kama ni ubinafsi basi ni kwa ajili ya watu wa jamii hizo,ustawi na mshikamano wa Taifa zima.
Samahani MkuuNimekubali mkuu ila tumia kauri zenye heshima sidhani hata wewe unajua kila kitu na hatutakuita juha🙄🙄
Pengine muda bado.Hujanishawishi bado katika hili
Picha hii inamaana gani?
Tanzania Mpya Yaja....
Tufanye kazi
Karibu tenaPengine muda bado.
Anyway ebu tuchape kazi.
Asante kwa majadiliano.
Ukiona jambo hulijui ni bora ukakaa kimya kuliko kujifanya mjuaji. Hivi unaujua mpaka wa Rwanda na Tanzania ukoje. Nadhani hata kusoma na kujua nchi huna ufahamu huo.Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.
Pori la Burigi lipo ngara ambayo imepakana na Rwanda.
Kama tunavyojua, Rwanda ina wanyama wachache sana kulinganisha na Tanzania, kwa hiyo move hii ya Tanzania inaweza kusaidia Rwanda sasa kupata Wanyama na kukuza utalii.
Kama mnavyojua, Wanyama hawajui mipaka ya Kisiasa kwa hiyo msishangae wakaamua kuishi popote, Tanzania hata Rwanda, huwezi kuwazuia.
Binafsi naona kwa move hii ya kuhamishia Wanyama huko Ngara ni bonge la Neema kwa Kagame.
Mimi nilifikiri kwanza kabla ya kupeleka wanyama mapori mengine basi tuboreshe kwanza vyanzo vya utalii wa wanyama tulivyokuwa navyo, tuboreshe huduma za mahoteli, tujenge viwanja bora n.k
Lakini hii ya kuhamishia wanyama Ngara, tunaenda kuwasaidia Wanyarwanda nao kupata chanzo cha utalii kwa gharama ya wanyama wetu, Je tumejiandaa kwa ushindani?
We have to act like Donor Country.Lengo kuu la Jiwe ndiyo hilo. Kupeleka wanyama Rwanda kwa rafiki yake. Free of charge.
Tushapiga fense jomba hakuna mnyama wa kutoka labda nyumbu watu wale wa ufipa waruke.Tumeona wanyama wakubwa wakubwa wakihamishwa kutoka sehemu mbalimbali na kupelekwa huko Burigi.