Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
alaf hii address ya u-bilionea, napata shida sana kuielewa
hata mimi inanisumbua sana, huyo jamaa sijamuona hata kwenye top 10 wa kibongo. AU kumiliki ndege ndiyo ubilionea?Hizi zhule za uandishi wa habari za mwezi mmoja wangezifuta.