TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Mkuu soma vizuri hii habari,issue ya ubilionia haitokani na ubwabwa uliopikwa bali unatokana na mali alizokuwa anamiliki!hao ndugu zangu kazi ipo.....mchele umekua ubilionea siku hizi!!!!
Mkuu soma vizuri hii habari,issue ya ubilionia haitokani na ubwabwa uliopikwa bali unatokana na mali alizokuwa anamiliki!hao ndugu zangu kazi ipo.....mchele umekua ubilionea siku hizi!!!!
Teh teh teh!ungemuuliza mke wake ingependeza zaidi!
Mkuu soma vizuri hii habari,issue ya ubilionia haitokani na ubwabwa uliopikwa bali unatokana na mali alizokuwa anamiliki!
Mkuu acaha ubabaishaji na ujuaji usiokuwa na maana,hivi wewe unaweza kuzitaja mali za uliowataja hapo juu kwa ufasaha?Taja asset za mengi, bakhresa,ama mufuruki,,sasa bilionea gani hata asset zake huzijui?eti mpaka mke wake khaaaaaa?
Kwani ndege siyo mali?wewe unamiliki ndege ngapi na za aina gani?acha kubeza mafanikio ya wenzio!Mali zenyewe ndio hiyo ndege?
Mkuu acaha ubabaishaji na ujuaji usiokuwa na maana,hivi wewe unaweza kuzitaja mali za uliowataja hapo juu kwa ufasaha?
Kwani ndege siyo mali?wewe unamiliki ndege ngapi na za aina gani?acha kubeza mafanikio ya wenzio!
Mkuu hizi taarifa wewe umezipata wapi?nani kakwambia hana hivyo ulivyovitaja hapo juu?Kama nia yako ni ubishi basi utaendelea kubisha mpaka basi,
ila pumba na mchele zinajulikana tayari,,bilionea hana ata kampuni?
Hana hata wafanyakazi? Hoteli basi ama tours company? Nehi
Ndege hiyo aliyoanguka nayo zinauzwa shilingi laki 5 za kitanzania,
boeng ambayo michael ngareko wa precision air aliinunua toka ATC alitoa milioni 60,xo huyo bob sambeke impact yake iko wapi ktk jamii?kutembea na garfrend ktk jeep ndio ubilionea?kweli hamnazo,jamaa aliwachezea akili mno
nabisha...... :nono:Hahahaha. Kila kitu friimasoni siku hizi. Afu na wewe siku hizi naskia uko kwenye huo mtandao ndo maana una mahela kibao. Bisha
.
Baada ya kuanguka inaweza ikawa na thamani ya laki tano kama ulivyosema,vipi kabla ya kuanguka ilikuwa na thamani ya shilingi ngapi?
Ni kwa sababu hukumjua au hukuwahi kuishi karibu na mtu huyo ndio maana unapata shaka.
Kwa tuliomjua kwa karibu tunajua jinsi mwanaume yule alivyokuwa na uwezo wa kutisha wa senti, ikiwa ni pamoja na vision za hali ya juu za maendeleo.
Yeye alikuwa akiongelea kuhusu kuanzisha Flying School, kitu ambacho hata serikali haijawahi kuwaza hilo.
Da kindege kama cha kunyunyizia madawa ya kuua panzi na ndege wa kweleakwelea kwenye mashamba nakumbuka vimeuzwa laki tano tano tu.Matajri wa Arusha wana mambo,mwaka huu wapambe watapata shida sana kwani''mabilionea ''wao kama watatu wote wanakufa kwa ''ajali'
Mkuu soma vizuri hii habari,issue ya ubilionia haitokani na ubwabwa uliopikwa bali unatokana na mali alizokuwa anamiliki!
Unafahamu mali anazomiliki na pesa zaidi ya hizi ndege mnazozujua?Kutokana na mali anazozimiliki huyu bilionea gani anamiliki ndege ya kizamani kama hiyo hakuna bilionea ambaye anakubali kupanda ndege kama hiyo ambayo si salama. Au nikuwekee ndege za mabilionea.
Unafahamu mali anazomiliki na pesa zaidi ya hizi ndege mnazozujua?
Kwa taarifa yako alikuwa akiwasafirisha kwa kuwakodishia viongozi mbalimbali wa kiserikali na taasisi za kijamii.
Unafahamu nyumba na assets nyingine anazomiliki?Unajuwa alikuwa akiwakopesha wafanyabiashara wengine?
Unashangazwa na billions za madafu?