Tatizo kubwa la mabwiga wa Moshi hasa wachaga ni kusifia watu wenye vijifedha.....na wewe utakuwa mchaga tu piga nakuona na miguu baja ya kichaga......wachaga ukiwapa ofa ya bia siku ya krisimasi na kuwachinjia mbuzi watakusifu mwaka mzima.....Ni kwa sababu hukumjua au hukuwahi kuishi karibu na mtu huyo ndio maana unapata shaka.
Kwa tuliomjua kwa karibu tunajua jinsi mwanaume yule alivyokuwa na uwezo wa kutisha wa senti, ikiwa ni pamoja na vision za hali ya juu za maendeleo.
Yeye alikuwa akiongelea kuhusu kuanzisha Flying School, kitu ambacho hata serikali haijawahi kuwaza hilo.
Hizo biashara zilizomfanya akawa bilionea mbona haziwekwi wazi?zimetoa ajira kwa watu wangapi?
Carlos Slim Helu & family
Bill GatesMkuu ni kumiliki assets zenye thamani isiyopungua bilioni moja!
[TABLE="width: 0"]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TH="class: digests lhead active asc, bgcolor: transparent"]Rank[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Name[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Net Worth[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Age[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Source[/TH]
[TH="class: digests lhead, bgcolor: transparent"]Country of Citizenship[/TH]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"]Carlos Slim Helu & family
[/TD]
[TD="class: worth, bgcolor: transparent"]$73 B[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]73[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]telecom[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Mexico[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"]2[/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"]Bill Gates
[/TD]
[TD="class: worth, bgcolor: transparent"]$67 B[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]57[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Microsoft[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]United States[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: rank, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: company, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: worth, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hivi unaweza fanya makubwa hata kwa pesa chafu??
Mkuu hilo ni jukumu lako kumpima kwa standard unazozijua wewe mwenyewe.Lakini kwa standard zetu amefuzu kuwa bilionea!
Nyinyi ndiyo mliokuja na tafsiri yenu ya umasikini kwamba mtu yeyote mwenye kipato chini ya U.S Dollar moja ni masikini,wakati huku bongo mtu anaweza kupata mahitaji yake yote ya msingi ilihali hana uwezo wa kuingiza U.S Dollar moja kwa siku!Tokeni na viwango vyenu sisi tunasonga mbele na viwango vyetu!
Ungonjwa wa akili ni tatizo kubwa sana hapa duniani!Haya bwana... nlichogundua ni kwamba angalau unajua kusoma na kuandika.
Teh teh teh!ungemuuliza mke wake ingependeza zaidi!Hebu nitajie asset za bob sambeke
Hata kama tunalima wenyewe,ukiwa mwingi zaidi ya kawaida ni kufuru mkuu!
R.I.P Kamanda,
Babuu Sambeke ni mfano wa kuigwa haswa kwa taifa lenye watu legelege kama hili letu la Tanzania,
Kwan Babu alikuwa ana ujasiri uliopitiliza,kwake neno haiwezekani ilikuwa hamna kabisa chochote akiitaji anapata kwa njia yeyote ile iwe kwa hiari ama kimabavu.
Laiti tungewapata Watanzania wengi wenye moyo mgumu kama aliyokuwa nao Babuu bila shaka tungeweza kuwanyoosha hawa viongozi legelege katika nchi yetu.
No matter what, Babuu alikuwa ni Bilionea na tajiri wake aliupata wakat wa vita ya Rwanda miaka ile ya 90s ndo alikuwa akiitwa Babu Sambeke kweli....
Nakumbuka kipindi hicho alikuwa ana Girl Friend wake mtoto wa Mama Kuku wanatembea na Jeep Banda wazi, Babuu kukupatia laki 5 bure alikuwa hata awazi hiyo ni miaka ya 90s.
Mkuu, kama ulimwaga labd hapo ndio pana kufuru, lakini umeliwa ukaisha? kuna tatizo hapo? Labda hawakutaka yale yanayotukuta kwenye misiba yetu kuwa waombolezaji wanakuwa wengi kuliko ubwabwa! Tunaishia kusema suna, suna wapi wakati umeisha?