Mkuu,
Ni aibu kuwa na mawazo ya aina hii hadi karne hii!
Unauliza maana ya FS ?...labda ni kwasababu jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!
Nitakupa mfano mdogo tu wa kampuni ya Ndege ya COASTAL ambayo najua unaijua vizuri!
Ile kampuni ina ndege kama 12 au zaidi hadi sasa, na ni kama kampuni ya kizalendo japo inamilikiwa na mzungu aliyelowea. Ukienda pale ofisini ukawauliza kuna marubani wangapi wazalendo Vs Wazungu utasikitika sana. Hivi wazungu wana nini hadi waje kuendesha ndege zinazofanya kazi nchini kwetu?..sisi ni mbumbumbu kiasi hicho?...hell No!