TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Mimi nataka hapo kwenye nyekundu utaje hizo mali anazomiliki,manake hata kuku anamiliki mali
Teh teh teh!kuku anamiliki mali gani?acha kuchekesha walionuna!
Mimi nataka hapo kwenye nyekundu utaje hizo mali anazomiliki,manake hata kuku anamiliki mali
Ukiwa na mawazo ya utoto unaweza kufikiri hakuna mtu tajiri duniani kama Baba yako, kwa kuwa tu anakupa ugali kila siku.Teh teh teh!kuku anamiliki mali gani?acha kuchekesha walionuna!
Hao ni billionaires in terms of TZshilings?
Kwa kweli vijana siku hizi mmeloose track. Yaan kuona ubwabwa mwingi na soda/beer ndo kufuru? Jamani, hebu mjitafakari na muone aibu kuongeaongea pumba! Pumbaaa.....v. Oooh sorry, pumba !
Pia, kazi yenu kubishania utajiri wa watu tu! Hakuna la maana lolote! Hebu bishaneni kwa nini Matajiri wa Ki-bongo hawanulfaishi/wananufaishaje jami inayowazunguka?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ni kwa sababu hukumjua au hukuwahi kuishi karibu na mtu huyo ndio maana unapata shaka.
Kwa tuliomjua kwa karibu tunajua jinsi mwanaume yule alivyokuwa na uwezo wa kutisha wa senti, ikiwa ni pamoja na vision za hali ya juu za maendeleo.
Yeye alikuwa akiongelea kuhusu kuanzisha Flying School, kitu ambacho hata serikali haijawahi kuwaza hilo.
Amesema billionea kwa kuangaliantz ukilinganisha na hao ma billionea wa dunia hata kina bakhresa huko hawasemi kitu na hawagusi hata viongoz wako wakienda huko kuomba ndio kinachowapeleka so ukiongea utajir kwa tz linganisha tz tukiangalia dunia ww huko nchi za hao ulioweka picha zao n omba omba mtaani tu ndg

waandishi wa habari punguzeni mbwembwe basi

Hukuwa unajongo kwenda karanga na mjini kwa mguu kwani ulikuwa u amuogopa mwl. Mpande na Malisa?me nimesoma moshi tech.nilikuaga nasikia story zke na ndege nimeshawah kuiona ila cjui sura yake inafananaje.
rip Sambeke
piki piki kama ya mwl. nkyaHukuwa unajongo kwenda karanga na mjini kwa mguu kwani ulikuwa u amuogopa mwl. Mpande na Malisa?
Huyo Babu alikuwa Cha utundu tangu akisoma kibo na alikuwa akiwasarandia Sana mabinti wa Serengeti muda wote! Mwaka 1982 alikatwa fensi kwa ajili ya kuwapitisha mabinti! Alikuwa mtu wa vurugu tu na mpikipiki wake wenye kelele!
Wewe wa juzi kati! Moshi tech Ile ya kipindi hicho Cha miaka 1980's wakati hata Mpande bado bachelor hajao ilikuwa tishio Kanda nzima hiyo! Sijui bweni langu mkwawa 27 Lina Hali gani kwa Sasa!piki piki kama ya mwl. nkya
missing moshi tech, my advance school
Sent using Jamii Forums mobile app
Now he's a military pilot. Alikuwa Sudan miaka flani Ila kwa sasa sijui yupo wapi huyu jamaa.Miaka inakimbia
Kipindi tunasoma na Jamal sambeke Alikuwa anatoroka shule anaenda kuchukua ndege anakuja kuizungusha juu tukiwa mstarini.