Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

kifo hakifuti deni. ni mdaiwa lazima amlipe. tena sasa ndiyo itamuwea vigumu maana msimamizi wa mirathi na mahakama vitampa deadline ili mali za marehemu zigawanywe kwa warithi
Unaforce Sheria.

Mali ya kudai inabaki hivo hivo.
 
Yaani hapo ndio imekoroga zaidi maana ndugu tayari wameshaiweka hii issue kwenye orodha ya mali za marehemu ktk mchakato wa mirathi.bora angekuepo yeye mwenyewe wangeweza kuyajenga noma ikaisha lakini waliosalia ndio moto juu ya moto Musiba angalie namna ya kuwapooza tu.
 
kifo hakifuti deni. ni mdaiwa lazima amlipe. tena sasa ndiyo itamuwea vigumu maana msimamizi wa mirathi na mahakama vitampa deadline ili mali za marehemu zigawanywe kwa warithi
Sasa hukumu itakaziwa kwa nguvu zaidi
 
kifo hakifuti deni. ni mdaiwa lazima amlipe. tena sasa ndiyo itamuwea vigumu maana msimamizi wa mirathi na mahakama vitampa deadline ili mali za marehemu zigawanywe kwa warithi
tena watakomaa, mana chelewesha imesababisha kifo
 
Nasikia watu wa Kilwa kivinje,Londo na wengineo Leo watakutana karibu na bahari ya Hindi kujadili Kama ni Natura death au watu wa Kanda ya ziwa wamefanya yao.
Wanasema Kama ni tukio Basi hata panya hawatabaki nyumbani kwao
 
1683890642043.png
 
Back
Top Bottom