Kufoji vyeti: Chuo Kikuu Mzumbe wameweza kwanini MoCU( MUCCoBS) washindwe?

Hawa ndiyo mawakili wanaogalagazwa na Lisu.
Lissu: Umesoma?
Shahidi: Ndio.
Lissu: Una uelewa kidogo wa mambo ya Sheria?
Shahidi; Mi hayo mambo ya Sheria za mahakamani sijui, maana nilisoma Physics.
Lissu: Hata Newton's law of motion si Sheria pia? Nayo hujui?
Shahidi; Najua ....zipo kama tatu.
Lissu: OK, ok ...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey the law of gravity unless you shake it well?
Shahidi: Mimi hiyo sijasoma.
Lissu; Kitu ulicho sema unakifahamu sasa unasema hujui, sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo, hapa unaweza kuwa unaongea kitu usicho kijua?
Shahidi: Sijui
 
Jamani kwanini mnashindwa kuwa wavumilivu wanaohusika watawaambia kweli juu ya jambo hili cha ajabu wengi wanataka makonda aonyeshe vyeti utazani ndio waliomteuwa.
 
Lissu: Umesoma?
Shahidi: Ndio.
Lissu: Una uelewa kidogo wa mambo ya Sheria?
Shahidi; Mi hayo mambo ya Sheria za mahakamani sijui, maana nilisoma Physics.
Lissu: Hata Newton's law of motion si Sheria pia? Nayo hujui?
Shahidi; Najua ....zipo kama tatu.
Lissu: OK, ok ...Sasa unaweza kutuambia why the last drop of urine doesn't obey the law of gravity unless you shake it well?
Shahidi: Mimi hiyo sijasoma.
Lissu; Kitu ulicho sema unakifahamu sasa unasema hujui, sasa huoni hata huo ushahidi unaosema ulikuwepo, hapa unaweza kuwa unaongea kitu usicho kijua?
Shahidi: Sijui
ha ha ha ha huyu Lissu anatakiwa bishiwa kwa force ukimpeleka kisheria anakugaragaza!
 
mzumbe chuo changu kinaongoza kwa digrii za janja janja...

watu wengi wanaishia form 4 tu na wanakuja mzumbe na kusoma certificate course 1 year kisha mwaka unaofata wanaingia kusoma digriii na wanatunukiwa hizo janja janja digriii

mfano hai ni mtoto wa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano anaitwa nancy
nakuhakikishia ile certificate ya mzumbe ukiwa kilaza huwezi pita kuingia degree
 
mzumbe chuo changu kinaongoza kwa digrii za janja janja...

watu wengi wanaishia form 4 tu na wanakuja mzumbe na kusoma certificate course 1 year kisha mwaka unaofata wanaingia kusoma digriii na wanatunukiwa hizo janja janja digriii

mfano hai ni mtoto wa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano anaitwa nancy
Aisee......
 
Back
Top Bottom