Alijaribu Masters ikakohoa.
Duuh!!!
Alijaribu Masters ikakohoa.
Nancy Kamuzora alipata division one form four
Hawana ubavu!Baraza La Seneti La Muccobs
Tunategemea Wachukue Desa La Mzumbe Watangaze Kuwa Bashite Kavuliwa Degree Yake Wakati Vyombo Vikusuasua Kuchukua Hatua
Now you're talking! Kimsingi haitakiwi kuwa hivyo na inaonesha jinsi kulivyo na udhaifu mkubwa katika vyombo na mifumo yetu mbali mbali. Inatakiwa watu wadakwe mapema wanapojaribu forgery za aina ya Bashite na nyinginezo badala ya kusubiria mpaka awe "mtu mkubwa". Well, aliweza kufanya manuva akafika hapo alipo sawa; na wakati alipoteuliwa hapakuwa na vetting?
Mkata Kiu wa bweni lipi vile?mzumbe chuo changu kinaongoza kwa digrii za janja janja...
watu wengi wanaishia form 4 tu na wanakuja mzumbe na kusoma certificate course 1 year kisha mwaka unaofata wanaingia kusoma digriii na wanatunukiwa hizo janja janja digriii
mfano hai ni mtoto wa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano anaitwa nancy
ili tuendelee kama wazungu inabidi tufute janja janja zote sheria isiwe na double standards kila mtu afuate sheria kila sehem
Mmenikumbusha mbaliiii na hizo kiu za Mzumbe. Kingo hall, ground floor. Saa 8 usiku unakesha kujiandaa na UE, jamaa linawakatia kiu ya muziki mnene toka bweni la wahasibu. Mwingine anatoka kulewa na makelele kibao.Mkata Kiu wa bweni lipi vile?
halafu nahisi ile program iliandaliwa kwa ajiri ya huyo binti tu, maana badae ilikuwa na mzozo.
By the way, kiu ulikuwa unakata wapi? Kinje, Matola, Mirambo......
Kiu zilikuwa na raha yake aisee,Mmenikumbusha mbaliiii na hizo kiu za Mzumbe. Kingo hall, ground floor. Saa 8 usiku unakesha kujiandaa na UE, jamaa linawakatia kiu ya muziki mnene toka bweni la wahasibu. Mwingine anatoka kulewa na makelele kibao.
mzumbe chuo changu kinaongoza kwa digrii za janja janja...
watu wengi wanaishia form 4 tu na wanakuja mzumbe na kusoma certificate course 1 year kisha mwaka unaofata wanaingia kusoma digriii na wanatunukiwa hizo janja janja digriii
mfano hai ni mtoto wa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano anaitwa nancy
ili tuendelee kama wazungu inabidi tufute janja janja zote sheria isiwe na double standards kila mtu afuate sheria kila sehem
Nancy Kamuzora alipata division one form four
Ehee nchi hii imejaa uchafu,hivyo kweli tutafika???.
Hahahahaaa, kuna kijana alikata kiu kwa kutumia megaphone!!!!Kiu zilikuwa na raha yake aisee,
Summit ya Mirambo na Kimweri ilikuwa hatari sana.
Kuna wakati vijana wa undergraduate waliwazingua Masters wa bweni la Kunambi ilikuwa patashika, kiu ilianza kufa hapo.
Kwani wapi inaonesha kuwa ni taarifa ya leo?Hii taarifa sio ya ukweli kabisa, kikao cha maamuzi cha tarehe 25 november 2016 halafu taarifa itolewe leo sio kweli kabisa..
hahahaaa mwanangu mpendwa akizaliwa tampatia moja kati ya majina hayoMbeya kwa majina jmn eti
Mwakabashite Mwakavyeti
Ningekuwa mimi najinyonga. Yaani kashapita na Law School kabisa ile shule ilivyo ngumu!