Kufiwa!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Samahani kwa yeyote nitakayemkwaza kwa hii mada lakini ni sehemu ya kubadilishana mawazo:
Ni hivi; Mtu anapofiwa kuna mawili, moja ni kulia tena kwa machozi, nyingine kulia kimya kimya machozi hayatoki. Sasa kuna watu wakifiwa na mtu wao wa karibu kabisa, kila wakijaribu walie kwa machozi hawafanikiwi, hao tuseme wana kasoro ama kuna jambo lingine linalowasumbua?

Emotional grieving can differ from one person to another or from one society to another. Some of us may weep openly i.e. crying while shouting or even singing. On the other end there are those who may just appear stone-faced while deeply hurt/weep inside.
In some societies (mine included) men are not supposed to show their emotions, cry or weep in the open as it's considered a sign of weakness. so hakuna kasoro mkuu papaaa batu banalia machozi bamutu wakati wowote.

Personally msiba uloniumiza kuliko yooote maishani mwangu... ilinichukua
saa nzima nimeketi na niktafakari ile habari ... na kujaribu kuimeza... then
ndio nililia.... cha ajabu huku watu wamenizunguka wakilia kwa mayowe...
naona it is my own way of dealing... lakini si kwamba ni tatizo...
For tumetofautiana extremes za kutoa ule uchungu wa kufiwa....

Kuna wengine ni attention seekers
wakiona watu wengi....
Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa

anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu

halafu anaanza maaaaaa maa weeee
siaaaamini umetutokaaaaa
tutakwendaaa wapiii sieeeeee

wananiudhi hao,basi tu..

Nina mfano wa mzee aliyefariki siku ya mazishi ya mwanae mpendwa. Mzee huyu hakuonekana kulia kabisa baada ya kupata habari za msiba wa mwanae, lakini wakati wa mazishi akiwa amesimama kaburini alianguka na ikawa ndio mwisho wa maisha yake.
Wanafamilia wakaanzisha msiba mpya!

Mungu wangu!!! Hii mbaya... masikini huyo mama ambae hapo hapo ni mke.... Dah!

Na mtu anayeshindwa kulia kwa msiba wa mtu wake wa karibu mara nyingi huwa anaumia sana. Mimi nilishuhudia Mdada aliyefiwa na dadake (waliyeshare baba) yule mdada hakulia na alikuwa support kubwa kwa ndugu zake wengine kiasi kwamba kila mtu alikuwa anashangaa........shughuli ilikuwa siku ya arubaini (wenyewe wanasema kugawa mali za marahemu)........watu tulijua tunayaanika tena majamvi!

So si kweli kuwa ana matatizo au msiba hauja muuma, ni namna tu mtu anavyoreact kwenye maumivu

khabari yake attention seekers banaa! skiza hii: ndugu yangu kanipigia abt msiba.nikashangaa imekuwaje?akanipa umbea wa marehemu toka kuzaliwa kwake hadi kufa though marehemu was 30yrs older than us.tukapitiana,tunaingia msibani anaendeleza umbea wa ku-identify wahanga wa marehemu hadi nikawa uncomfortable! dah,ile tunaingia ndani mi nikamsalimia mjane, naona mwenzangu ananiangukia na kilio!nilimkwepa haraka,nikatoka zangu nje.kamaliza drama zake kaja nje,si anaanza kuniambia 'yule alovaa kanga za pink pale ndani etc",nikasema huyu si alitaka kukata roho mle ndani,kumbe ka-absorb picha nzima?lolo! kwa kweli kuna drama queens!
Kuna wengine ni attention seekers

wakiona watu wengi....

Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa

anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu

halafu anaanza maaaaaa maa weeee

siaaaamini umetutokaaaaa

tutakwendaaa wapiii sieeeeee

wananiudhi hao,basi tu..

Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.

dahhhh
Pole sana ......

...........Desidii........pole sana mpenzi!.

Samahani kwa yeyote nitakayemkwaza kwa hii mada lakini ni sehemu ya kubadilishana mawazo:
Ni hivi; Mtu anapofiwa kuna mawili, moja ni kulia tena kwa machozi, nyingine kulia kimya kimya machozi hayatoki. Sasa kuna watu wakifiwa na mtu wao wa karibu kabisa, kila wakijaribu walie kwa machozi hawafanikiwi, hao tuseme wana kasoro ama kuna jambo lingine linalowasumbua?

nimefungua haraka kweli sikusoma vizuri heading nikatafsiri tofauti!

Ni kweli kuna hilo jambo, wapo watu wa aina hiyo, sijui mioyo migumu ila nadhan Mungu anawafanya wawe imara pale penye wakati mgumu! Nakubaliana na wewe juu ya hilo!

AfroDensi! Dah kulia kwa ndani aisee yahitaji moyo! Sasa kwa mtu wa aina hiyo afanyeje machozi yatoke?

Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.
Pole sana dada yangu!

Back
Top Bottom