Kufiwa!

Kufiwa!

Kuna wengine ni attention seekers
wakiona watu wengi....
Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa

anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu

halafu anaanza maaaaaa maa weeee
siaaaamini umetutokaaaaa
tutakwendaaa wapiii sieeeeee

wananiudhi hao,basi tu..

Aisee pole sana Boss!
Binadamu tumeumbwa tofauti, hao sijui wanatafuta nini? nadhan kuna kitu wanakitafuta vichwani mwao.
 
AfroDensi! Dah kulia kwa ndani aisee yahitaji moyo! Sasa kwa mtu wa aina hiyo afanyeje machozi yatoke?

duhhhh
hapo kwenye red umenishika
kibinggggggg....
acha kuninyonga basi khaaa

nway huwezi kumfanya mtu atoe chozi
kuomboleza si lazima chozi.....
kuna wengi watashika tu tama
kichwa chini, uso huzuni ya kufa mtu..
kacheck blood pressure.....
bora ya anaelia....

haimaanishi anaelia ndie anaeuma zaidi.....
 
Kuna wengine ni attention seekers
wakiona watu wengi....
Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa

anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu

halafu anaanza maaaaaa maa weeee
siaaaamini umetutokaaaaa
tutakwendaaa wapiii sieeeeee

wananiudhi hao,basi tu..

hahaahahahaha lohhh
hii kali
 
pole sana desidii. hicho ndo kinachotakiwa, kuwa strong ili ufanye ile kazi yako unayopaswa kuifanya. isingekufaa kitu kuzimia wakati mwanao anaita mama, anahitaji faraja yako pia. lakini ukijiweka strong kwa kiasi uweze kufanya sehemu yako na kumuachia Mungu ya kwake inakaa uzuri. kuna kitabu nilisoma ''how to face fear'', ni kizuri sana.
Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.
 
most of the time wale ambao hawalii kwa macho hulia vibaya saaaana moyoni. dada mmoja alifiwa na mumewe. she didnt cry kama watu wanavotamani kumwona mjane akijigalagaza chini kwa makeleeele. ila alikua kama amefyatuka akili haongei, ukimsemesha kama hasikii wala kuelewa alikua anatoa macho tu. mama mmoja wa makamo akamfuata na kumwingiza chumbani after msiba akamwambia kua kule kutokulia kunamumiza zaidi alimjaza maneno kibao hadi yule dada akaanza kuangua kilio. mama yule akamwacha akaliiiiiiiia like two hours bila kubembelezwa na mtu hadi fundo la uchungu likamwisha baada ya hapo alirudia kua kama kawaida. watu wazima husema ikiwa mtu hatalia basi anahatari hata ya kufa ghafla kwasababu ya uchungu moyoni. kulia wakati mwingine hupunguza fundo huzuni na hasira za kuondokewa.
 
<br />
<br />
Dawa ya hiyo kwa ndani ni nini hasa?
 
<br /
Uko sahihi kabisa asiyelia hakimtoki haraka moyoni ataomboleza muda mrefu sana.
 
Kuna wengine ni attention seekers
wakiona watu wengi....
Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa

anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu

halafu anaanza maaaaaa maa weeee
siaaaamini umetutokaaaaa
tutakwendaaa wapiii sieeeeee

wananiudhi hao,basi tu..[
/QUOTE]

hahaha The Boss.....umenifurahisha sana, mie kwa hilo nakuhakikishia kukuudhi, frnd wangu alifiwa na mtoto wake, nakumbuka cku hiyo nilienda kumpokea yeye akapumzike kidogo, yule mtoto alinifia nikimuangalia, nilikuwa cjawahi kuona so nilikuwa nashangaa shangaa tu, doc kuja ananiambia habari imekatika ckuamini...kilichoendelea hapo ni hicho cha kukuudhi.
 
Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.

pole sana dearest....
 
Samahani kwa yeyote nitakayemkwaza kwa hii mada lakini ni sehemu ya kubadilishana mawazo:
Ni hivi; Mtu anapofiwa kuna mawili, moja ni kulia tena kwa machozi, nyingine kulia kimya kimya machozi hayatoki. Sasa kuna watu wakifiwa na mtu wao wa karibu kabisa, kila wakijaribu walie kwa machozi hawafanikiwi, hao tuseme wana kasoro ama kuna jambo lingine linalowasumbua?

Kunawatu wanajifanyisha lakini kulia hakuna fomula, nilikuwa sijawahi kulia. Nilipofiwa na dada yangu, mymother told me to be strong and i was strong, nikafanya kazi ya kusambaza taarifa kwa ndugu karibia wote, maandalizi ya mazishi na mapokezi ya wageni kwa siku tatu sikutoa machozi wala kulia... siku ya mazishi I cried like a baby! kwakweli nililia sana i don't know how it started! so hili swala la kulia i think is a reflex action or involuntary action na huwezi control acha mwenyekulia alie mwenyekuzimia haya nk nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom