Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,962
Sina hakika ila contamination ni ya hali ya juu, kuna watu wanakojoa kwenye maji mle. Kuna mauchafu ambayo yako ndani ya maji kama ukijani ukijani flani. Yanaweza penetrate wakati wa thrusting yakamuingia mtoto wa kike.
Je, zile stori za kuoga maji ya bahari kujitakasa ni porojo?
Chumvi ni tiba, chumvi hiyo ndo huyeyusha uozo wote baharini... hata hivyo vimkojo na vinyesi vyenu ni almost negligible kwenye ujazo wa bahari.
Kingine, mbona chumvi ya 'chumvini' wameizoea?[emoji276]