Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,865
- 44,951
Wote sio familia ya Mengi ,Wachaga kwa Tanzania wengi wao wapo vizuri kwa kipato ila hoi hae pia wapo wengi tu..Kila kabila lina masikini ila wachaga wengi wapo vizuri na wana connections. Mfano familia ya Mengi
Ila tunakubaliana ya kuwa wengi wao wanajiweza. Na hapo sijamtaja Lissu, Mbowe na wakina Lema.Wote sio familia ya Mengi ,Wachaga kwa Tanzania wengi wao wapo vizuri kwa kipato ila hoi hae pia wapo wengi tu..
Bila kumsahau Woiso.Wote sio familia ya Mengi ,Wachaga kwa Tanzania wengi wao wapo vizuri kwa kipato ila hoi hae pia wapo wengi tu..
😂subiri wakushauri uende tengeru uka kutane na mitumba grade 1MBAUDA,SAKINA,NGARENARO,NJIRO sasa wamesema naenda sehemu kibokoo kwa Mrombo sijui ndio niko hapa nafurahiafurahia
Mbona hata huku kwenu mambo ndio hayohayo bro....nyie watu wa Arusha wajanja sana huko Dar mnajifanyaga huku hakuna hizo saga nineshangaa sana mambo niiyoyakuta huku😂We sema tu umesha-miss kwenu Daslam bafu linaishia kifuani ukioga kichwa kinaonekana nje, mvua ikinyesha unapanda juu ya bati , Tv na masufuria unazikuta mtoni
Uongo huoMbona hata huku kwenu mambo ndio hayohayo bro....nyie watu wa Arusha wajanja sana huko Dar mnajifanyaga huku hakuna hizo saga nineshangaa sana mambo niiyoyakuta huku😂
We hasidi aliyeita Arusha Geneva ya Africa ni Bill Clinton nenda mfuate Marekani. Umetoka na ushamba ulikotoka Arusha utaielewa wapi. Rudi huko kwenu ushambani.Kwema jamani
Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED samahani washkaji zangu wooote wa A- town mkiongozwa na big Glenn .
Wakatabahu
Jo.
Ndiyo wajanja wa A town hao, Vipi lakin Vijana wa Dar na Vijana wa uko Arusha wapi kuna vijana Ma handsome boy ?Halafu mbona vijana wengi wana makovu ya visu halafu wanaongea lugha siilewi kuna nini huku jamani?
Chuga ikifika saa 3 hupati city bus, hahaNimeenda zangu arusha nikajichanganya kupiga misele ya hapa na pale saa 12 jioni mara nipo kwa morombo nikashangaa nyama choma pale na wale wamasaiii mishale ikasogea mara saa tatu na midakika hapo magetoni ni ngaramtoni
Basi dandia vigari vyao vile vidunchu kama kiberiti nikashuka posta ndio mwisho... oyaaa hiyo posta night sio kali lakini imeshakuwa dorooo, mjini kumetepeta raia ni wakuhesabu na usafiri kipengele boda boda zinapita hata hazina time na wewe, nilikanya mguu mpaka mianzini miksa mvua inanyesha, miksa kuloa miksa jogging. mianzia nakutana na mduanzia boda anataka buku 4. daah
Yani nili laani sana hiyo arusha. hakuna maajabu kabisa zaidi ya watoto wakike wazuri weupe wanapenda kusuka rasta ndeeefu
Nlifika gongo la mboto kipindi cha mvua aloh hapafai unapita chini ya sgr maji + matope ndo maana watu wa dar wanachuki na arusha kwasababu wanaona hatuteseki kama wao😀Kama Arusha hujaipenda si urudi zako gongolamboto mkapakane majasho
Watu wanaojifanya wanaringa na dar ni watu waliotoka mikoani wakaenda dar ukubwani kwao wanaona dar kama Paris 😀 si ajabu anaona foleni ni maendeleoWatu sio wengi sana na pia wanafanya shughuli tofauti ni tofauti na daslm wengi ni kutoka asubuhi na kurudi wakimaliza kazi Arusha saa hizi mtu anaenda/kurudi Porini.
Umekutana wewe na washamba ambao umewaonaKusema ukweli wazawa wa Arusha ni washamba na limbukeni sana ila Arusha kama Arusha imekaa poa sana, kama umeenda Kwa lengo la vacation utaenjoy sana ila kama ni mpitaji then utapachoka haraka sana