Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,983
- 30,174
Ngoja nijaribu unidangie MieSi unajua tena kutembeleana na kujuliana hali ndio zetu sisi watanzania
Ngoja nijaribu unidangie MieSi unajua tena kutembeleana na kujuliana hali ndio zetu sisi watanzania
hahahahaha Madame B umenichekesha sana aiseee hasa hapo kuja na mabomu au damu hahaha hao watakuwa walikuwa majambazi hahahaha.... ninacho kupendea uko honest...aiseee nimecheka sanaWakati mwingine sisi wadanganyi tunapata wakati mgumu sana katika tasnia hii.
Ngoja nikumbuke matukio yangu mawili makubwa katika harakati zangu za udangaji.
1. Nilipata mwanaume katika mtandano wa Mzibo.net yeye anaishi Tanga mjini, tukachonga fresh kuwa niende Tanga na gharama ya nauli na kunichetua ni juu yake,
basi kesho yake akanitumia nauli sh 40,000 na baada ya kunitumia nauli nikaanza kuleta udhuru akasema basi pesa rudisha....nikajisemea kimoyomoyo, wajinga ndo waliwao nikam-block
Basi nikaendele na mishe zangu.
Ikapita kama mwezi mara naona tigopesa yangu imeingia 50,000, kuangalia aliyetuma ni yule jamaa....nikaitoa kisha nika-mute.
Basi baada ya wiki namba ngeni inapiga kupokea ni yule kaka, akasema nilikutumia nauli uliipata, nikasema hapana. Basi dk ile ile akatuma 50,000
15,000 nauli na 35 ya kula njiani.
Safari hii nikajisemea hili danga liko njema....ngoja niende Tanga tu nikaonane nae.
Basi nikapanda basi mpaka Tanga...(ilibidi nim-unlock ili tuwasiliane vizuri), kweli nikamkuta stand Tanga ananisubiri. Akanichukua tukaenda Hotelini huko ghorofani.
Jamaa yuko vizuri, basi hapo hotelini tulikaa kama siku 2 kisha akasema ananihamishia nyumbani kwake.
Basi kesho yake akanibeba mpaka kwake.
Kufika kwake kumbe jamaa zungu la unga.....anaishi na masela kama 7 ila nyumba kubwa, bonge la fence.
Basi mie ndo nikawa housegirl wao....kila nikitaka kuondoka wananizuia.
Mara leo wanakuja wameloa damu, kesho wanakuja wameshika sijui mabomu yale.
Nikajisemea kimoyomoyo, nimekoma Kudanga.
Nilikaa kama wiki 2 huku napanga plan za kutoroka maana getini kuna mlinzi.
Basi siku hiyo wamenituma supermarket wakanipa na sh 165,000 ya kununua vitu.
Nikasema hii ndo nauli yangu...na malipo ya kumchetua yule kaka kwa wiki 2,nilizokaa pale.
Basi nikaenda stand nikanunua dera...zile nguo nyingine nikatia mfukoni, nikapanda Tashriff...mbio kurudi Dar.
Tangu siku hiyo....nikiona hata sms yake najihisi kunyya kunyya....japo nilikuwa napata kila kitu, ila nilikoma.
Nikasema siku akija Dar tu...sitembelei bar yoyote mpk aondoke.
Nilikoma aisee
Japo sijaacha kudanga, ile ni ajali tu kazini
2. Danguo la pili nilienda Nairobi.....chinekeeeeeeee!!!!!!
Kwetu raha tu.
Du ndio Najua Leo mAANa ya Kudanga,nalisikia sana hilo neno,kumbe anayedanga ni MWANAMKE Tu ambaye mwenye mume.Mwanamke kuwa na mume afu akiwa na shida na pesa anatafuta bwana ili iyo apate pesa.
Na kwa hili Madada wamekua na ushirikiano Sana katika kutafutiana mabwana.
Hii ni fofauti na mchepuko.
Hii ni mbaya, hatari na dhambi Sana!
Nakuagaje kwa mfanpSasa mbona hukuaga hahahah
Akha....mtu anatoka Arusha anakuja kukudangia afu akaniambia hujampa hata sh kumi, afu mie tena nije hapo hapo kukudangia....sahau bro!!Ngoja nijaribu unidangie Mie
Mkuunani kakuroga hadi unatuma pesa kwa demu. Bora ungemkatia ticketUnakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.
Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabisa wote ni kundi moja tu.
Ruttashobolwa, yaani nilikuwa na wakati mgumu sana sema ndo kutoroka ilikuwa ngumu sanahahahahaha Madame B umenichekesha sana aiseee hasa hapo kuja na mabomu au damu hahaha hao watakuwa walikuwa majambazi hahahaha.... ninacho kupendea uko honest...aiseee nimecheka sana
Utapeli wa kijinga hivyoooo nani amshitaki?Hivi mtu kama huyo si.anatakiwa kushtakiwa kwa utapeli
PoleeeUsicheke inauma sana
Nimejaribu kumkanya, ila yeye anaona ni njia rahisi ya kujichotea helaTafadhali tafadhali Dada yangu nakuomba mkanye kabisa hyo Tabia.
Amini nakwambia ipo siku atakuja upande wenu. Mwanaume unaanzaje huo upumbavu! ![emoji35]
Wewe utakua umetumia pesa mwanaume mwenzio aliyetumia picha feki za kike. Huo mchezo nimeufanya sana enzi za ujana wangu, nimekula sana hela za watu wajinga kama wewe.Mtoa mada wahuni wamekupiga
Iviii unaanzaje kukutana na mtu mtandaoni na ukajitoa akili kabisa kupanda basi kwenda mkoa mwingine? Hua mnaaga ndugu zenu kua unasafiri au ni kimyakimya? [emoji53][emoji53][emoji53]Wakati mwingine sisi wadanganyi tunapata wakati mgumu sana katika tasnia hii.
Ngoja nikumbuke matukio yangu mawili makubwa katika harakati zangu za udangaji.
1. Nilipata mwanaume katika mtandano wa Mzibo.net yeye anaishi Tanga mjini, tukachonga fresh kuwa niende Tanga na gharama ya nauli na kunichetua ni juu yake,
basi kesho yake akanitumia nauli sh 40,000 na baada ya kunitumia nauli nikaanza kuleta udhuru akasema basi pesa rudisha....nikajisemea kimoyomoyo, wajinga ndo waliwao nikam-block
Basi nikaendele na mishe zangu.
Ikapita kama mwezi mara naona tigopesa yangu imeingia 50,000, kuangalia aliyetuma ni yule jamaa....nikaitoa kisha nika-mute.
Basi baada ya wiki namba ngeni inapiga kupokea ni yule kaka, akasema nilikutumia nauli uliipata, nikasema hapana. Basi dk ile ile akatuma 50,000
15,000 nauli na 35 ya kula njiani.
Safari hii nikajisemea hili danga liko njema....ngoja niende Tanga tu nikaonane nae.
Basi nikapanda basi mpaka Tanga...(ilibidi nim-unlock ili tuwasiliane vizuri), kweli nikamkuta stand Tanga ananisubiri. Akanichukua tukaenda Hotelini huko ghorofani.
Jamaa yuko vizuri, basi hapo hotelini tulikaa kama siku 2 kisha akasema ananihamishia nyumbani kwake.
Basi kesho yake akanibeba mpaka kwake.
Kufika kwake kumbe jamaa zungu la unga.....anaishi na masela kama 7 ila nyumba kubwa, bonge la fence.
Basi mie ndo nikawa housegirl wao....kila nikitaka kuondoka wananizuia.
Mara leo wanakuja wameloa damu, kesho wanakuja wameshika sijui mabomu yale.
Nikajisemea kimoyomoyo, nimekoma Kudanga.
Nilikaa kama wiki 2 huku napanga plan za kutoroka maana getini kuna mlinzi.
Basi siku hiyo wamenituma supermarket wakanipa na sh 165,000 ya kununua vitu.
Nikasema hii ndo nauli yangu...na malipo ya kumchetua yule kaka kwa wiki 2,nilizokaa pale.
Basi nikaenda stand nikanunua dera...zile nguo nyingine nikatia mfukoni, nikapanda Tashriff...mbio kurudi Dar.
Tangu siku hiyo....nikiona hata sms yake najihisi kunyya kunyya....japo nilikuwa napata kila kitu, ila nilikoma.
Nikasema siku akija Dar tu...sitembelei bar yoyote mpk aondoke.
Nilikoma aisee
Japo sijaacha kudanga, ile ni ajali tu kazini
2. Danguo la pili nilienda Nairobi.....chinekeeeeeeee!!!!!!
Kwetu raha tu.
Hadi wanaume wadangaji wapo... Wale Mariooo si wadangaji tu wanatafuta sugar mummies na wadada wenye pesa... Sio lazima awe ameolewa,Du ndio Najua Leo mAANa ya Kudanga,nalisikia sana hilo neno,kumbe anayedanga ni MWANAMKE Tu ambaye mwenye mume.
Kudanga ni demu anakua kama anajiuza lakin hasimami barabarani...yan asilimia kubwa wanakua wanaunganishwa na mademu wenzao...wengi wao ni wanafunzi wa vyuo na wafanyakazikudanga ndo nini ss
Yes mkuuu.....wengi ni hivyo aiseeeina maana hujui kuwa mabinti wengi siku hizi ni wajasiria mwili??
hakika mkuuYes mkuuu.....wengi ni hivyo aiseee
Maish ni kujaribu.Iviii unaanzaje kukutana na mtu mtandaoni na ukajitoa akili kabisa kupanda basi kwenda mkoa mwingine? Hua mnaaga ndugu zenu kua unasafiri au ni kimyakimya? [emoji53][emoji53][emoji53]
Watu mnaishi maisha hatari sanaa