Kudanga ndio namna mpya ya kujiuza

Kudanga ndio namna mpya ya kujiuza

Kabla hujatuma nauli mlkua mmewai kuwasiliana kwa kipnd gani?
And mliwai onana uko nyuma au ndo mara ya kwanza and pia mlifahamiana wapi ? Coz mabinti tunatofautiana mkuu
 
Mtumie nyingine atakuwa kapoteza akiwasha simu aikute, hivi bado kuna wanaume mandondocha tu.
 
Unakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.

Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabisa wote ni kundi moja tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekutana na tapeli, pole
 
Hiyo ndio raha ya michepuko unapata wivu kidogo,muhimu kinga tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutuma nauli ndio aina mpya ya kutapeliwa....
 
Kidogo sasa yaaan watu hawana huruma netuma nauli elf 35 elf 15 ya kula njian daaaaaah
Yaani kuna rafiki yangu tena wa kiume, ana account fb kajaza mapicha sijui ya dada gani.... Basi wanaume wanamshonbokea ile mbaya, kila wiki anaingiza si chini ya elfu 30 kwa kuomba kutumiwa nauli.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani anawatapeli wanaume wenzake kifala sana
 
Hivi mtu kama huyo si.anatakiwa kushtakiwa kwa utapeli
 
Yaah mkuu wadada wengi asa hv ni mwendo wa kudanga tuu
Unakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.

Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabisa wote ni kundi moja tu.[/QUOTE
Yaah mkuu wadada wengi asa hv ni mwendo wa kudangaa
 
Yaani kuna rafiki yangu tena wa kiume, ana account fb kajaza mapicha sijui ya dada gani.... Basi wanaume wanamshonbokea ile mbaya, kila wiki anaingiza si chini ya elfu 30 kwa kuomba kutumiwa nauli.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani anawatapeli wanaume wenzake kifala sana
Tafadhali tafadhali Dada yangu nakuomba mkanye kabisa hyo Tabia.
Amini nakwambia ipo siku atakuja upande wenu. Mwanaume unaanzaje huo upumbavu! ![emoji35]
 
Back
Top Bottom