Wakati mwingine sisi wadanganyi tunapata wakati mgumu sana katika tasnia hii.
Ngoja nikumbuke matukio yangu mawili makubwa katika harakati zangu za udangaji.
1. Nilipata mwanaume katika mtandano wa Mzibo.net yeye anaishi Tanga mjini, tukachonga fresh kuwa niende Tanga na gharama ya nauli na kunichetua ni juu yake,
basi kesho yake akanitumia nauli sh 40,000 na baada ya kunitumia nauli nikaanza kuleta udhuru akasema basi pesa rudisha....nikajisemea kimoyomoyo, wajinga ndo waliwao nikam-block
Basi nikaendele na mishe zangu.
Ikapita kama mwezi mara naona tigopesa yangu imeingia 50,000, kuangalia aliyetuma ni yule jamaa....nikaitoa kisha nika-mute.
Basi baada ya wiki namba ngeni inapiga kupokea ni yule kaka, akasema nilikutumia nauli uliipata, nikasema hapana. Basi dk ile ile akatuma 50,000
15,000 nauli na 35 ya kula njiani.
Safari hii nikajisemea hili danga liko njema....ngoja niende Tanga tu nikaonane nae.
Basi nikapanda basi mpaka Tanga...(ilibidi nim-unlock ili tuwasiliane vizuri), kweli nikamkuta stand Tanga ananisubiri. Akanichukua tukaenda Hotelini huko ghorofani.
Jamaa yuko vizuri, basi hapo hotelini tulikaa kama siku 2 kisha akasema ananihamishia nyumbani kwake.
Basi kesho yake akanibeba mpaka kwake.
Kufika kwake kumbe jamaa zungu la unga.....anaishi na masela kama 7 ila nyumba kubwa, bonge la fence.
Basi mie ndo nikawa housegirl wao....kila nikitaka kuondoka wananizuia.
Mara leo wanakuja wameloa damu, kesho wanakuja wameshika sijui mabomu yale.
Nikajisemea Nimekoma Kudanga.
Nilikaa kama wiki 2 huku napanga plan za kutoroka maana getini kuna mlinzi.
Basi siku hiyo wamenituma supermarket wakanipa na sh 165,000 ya kununua vitu.
Nikasema hii ndo nauli yangu...na malipo ya kumchetua yule kaka kwa wiki 2,nilizokaa pale.
Basi nikaenda stand nikanunua dera...zile nguo nyingine nikatia mfukoni, nikapanda Tashriff...mbio kurudi Dar.
Tangu siku hiyo....nikiona hata sms yake najihisi kunyya kunyya....japo nilikuwa napata kila kitu, ila nilikoma.
Nikasema siku akija Dar tu...sitembelei bar yoyote mpk aondoke.
Nilikoma aisee
Japo sijaacha kudanga, ile ni ajali tu kazini
2. Danguo la pili nilienda Nairobi.....chinekeeeeeeee!!!!!!
Kwetu raha tu.