Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Wala sikupi pole.
Mtumie nyingine atakuwa kapoteza akiwasha simu aikute, hivi bado kuna wanaume mandondocha tu.
[emoji87] [emoji86] [emoji85] [emoji23]Mimi alivyo mpuuzi alinizimia simu kbla hajatoa pesa. Plan yake alale kitoe kesho.
Mxiuuu
Nikawaendea tigo hewani.
Ndani ya dakika sifuri mzigo 40k huu hapa returned.
Kesho yake asubuhi nikawa nalichora tu m mameseji yake.
Mxiuu kabisa.
Sasa hivi ni mwendo wa tiketi hataki aache
Mwanamke kuwa na mume afu akiwa na shida na pesa anatafuta bwana ili iyo apate pesa.Hivi kudanga maana yake nini?
Mkuu ni kweli yaan ukiwa na danga moja anakuunganisha na wenzakeMwanamke kuwa na mume afu akiwa na shida na pesa anatafuta bwana ili iyo apate pesa.
Na kwa hili Madada wamekua na ushirikiano Sana katika kutafutiana mabwana.
Hii ni fofauti na mchepuko.
Hii ni mbaya, hatari na dhambi Sana!