eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 476
- Thread starter
- #121
Bro elf 50 tu unatoa POVU........ Acha bwana, kuna watu wanatuma nauli za Flight na wanagunia Matumboni. POLE sana, Ulitumiwa tumiwa PICHA? kama vp weka namba hapa tufanya namna kufuatilia kwa ukaribu....Wenda BUS limeharibika.Kidogo sasa yaaan watu hawana huruma netuma nauli elf 35 elf 15 ya kula njian daaaaaah
Ukhuty embu ukuje huku,mbona hii avatar siielewiCo-ask
Kumbe mmekutania fb bhasi saawaMtu akipata ajali ndo ananiblock fb na simu haipatkan
Madame B leo umekumbuka nin,kwahiyo bado unadanga fresh tuu,naomba unidange bathiiiWakati mwingine sisi wadanganyi tunapata wakati mgumu sana katika tasnia hii.
Ngoja nikumbuke matukio yangu mawili makubwa katika harakati zangu za udangaji.
1. Nilipata mwanaume katika mtandano wa Mzibo.net yeye anaishi Tanga mjini, tukachonga fresh kuwa niende Tanga na gharama ya nauli na kunichetua ni juu yake,
basi kesho yake akanitumia nauli sh 40,000 na baada ya kunitumia nauli nikaanza kuleta udhuru akasema basi pesa rudisha....nikajisemea kimoyomoyo, wajinga ndo waliwao nikam-block
Basi nikaendele na mishe zangu.
Ikapita kama mwezi mara naona tigopesa yangu imeingia 50,000, kuangalia aliyetuma ni yule jamaa....nikaitoa kisha nika-mute.
Basi baada ya wiki namba ngeni inapiga kupokea ni yule kaka, akasema nilikutumia nauli uliipata, nikasema hapana. Basi dk ile ile akatuma 50,000
15,000 nauli na 35 ya kula njiani.
Safari hii nikajisemea hili danga liko njema....ngoja niende Tanga tu nikaonane nae.
Basi nikapanda basi mpaka Tanga...(ilibidi nim-unlock ili tuwasiliane vizuri), kweli nikamkuta stand Tanga ananisubiri. Akanichukua tukaenda Hotelini huko ghorofani.
Jamaa yuko vizuri, basi hapo hotelini tulikaa kama siku 2 kisha akasema ananihamishia nyumbani kwake.
Basi kesho yake akanibeba mpaka kwake.
Kufika kwake kumbe jamaa zungu la unga.....anaishi na masela kama 7 ila nyumba kubwa, bonge la fence.
Basi mie ndo nikawa housegirl wao....kila nikitaka kuondoka wananizuia.
Mara leo wanakuja wameloa damu, kesho wanakuja wameshika sijui mabomu yale.
Nikajisemea kimoyomoyo, nimekoma Kudanga.
Nilikaa kama wiki 2 huku napanga plan za kutoroka maana getini kuna mlinzi.
Basi siku hiyo wamenituma supermarket wakanipa na sh 165,000 ya kununua vitu.
Nikasema hii ndo nauli yangu...na malipo ya kumchetua yule kaka kwa wiki 2,nilizokaa pale.
Basi nikaenda stand nikanunua dera...zile nguo nyingine nikatia mfukoni, nikapanda Tashriff...mbio kurudi Dar.
Tangu siku hiyo....nikiona hata sms yake najihisi kunyya kunyya....japo nilikuwa napata kila kitu, ila nilikoma.
Nikasema siku akija Dar tu...sitembelei bar yoyote mpk aondoke.
Nilikoma aisee
Japo sijaacha kudanga, ile ni ajali tu kazini
2. Danguo la pili nilienda Nairobi.....chinekeeeeeeee!!!!!!
Kwetu raha tu.
Hapo chacha inametegea ntu na ntuuuMtu akipata ajali ndo ananiblock fb na simu haipatkan
Raha ya danga ni kujilipua.Madame B leo umekumbuka nin,kwahiyo bado unadanga fresh tuu,naomba unidange bathiii
Madame B huja sema yote. .ila nakupa pole.Wakati mwingine sisi wadanganyi tunapata wakati mgumu sana katika tasnia hii.
Ngoja nikumbuke matukio yangu mawili makubwa katika harakati zangu za udangaji.
1. Nilipata mwanaume katika mtandano wa Mzibo.net yeye anaishi Tanga mjini, tukachonga fresh kuwa niende Tanga na gharama ya nauli na kunichetua ni juu yake,
basi kesho yake akanitumia nauli sh 40,000 na baada ya kunitumia nauli nikaanza kuleta udhuru akasema basi pesa rudisha....nikajisemea kimoyomoyo, wajinga ndo waliwao nikam-block
Basi nikaendele na mishe zangu.
Ikapita kama mwezi mara naona tigopesa yangu imeingia 50,000, kuangalia aliyetuma ni yule jamaa....nikaitoa kisha nika-mute.
Basi baada ya wiki namba ngeni inapiga kupokea ni yule kaka, akasema nilikutumia nauli uliipata, nikasema hapana. Basi dk ile ile akatuma 50,000
15,000 nauli na 35 ya kula njiani.
Safari hii nikajisemea hili danga liko njema....ngoja niende Tanga tu nikaonane nae.
Basi nikapanda basi mpaka Tanga...(ilibidi nim-unlock ili tuwasiliane vizuri), kweli nikamkuta stand Tanga ananisubiri. Akanichukua tukaenda Hotelini huko ghorofani.
Jamaa yuko vizuri, basi hapo hotelini tulikaa kama siku 2 kisha akasema ananihamishia nyumbani kwake.
Basi kesho yake akanibeba mpaka kwake.
Kufika kwake kumbe jamaa zungu la unga.....anaishi na masela kama 7 ila nyumba kubwa, bonge la fence.
Basi mie ndo nikawa housegirl wao....kila nikitaka kuondoka wananizuia.
Mara leo wanakuja wameloa damu, kesho wanakuja wameshika sijui mabomu yale.
Nikajisemea kimoyomoyo, nimekoma Kudanga.
Nilikaa kama wiki 2 huku napanga plan za kutoroka maana getini kuna mlinzi.
Basi siku hiyo wamenituma supermarket wakanipa na sh 165,000 ya kununua vitu.
Nikasema hii ndo nauli yangu...na malipo ya kumchetua yule kaka kwa wiki 2,nilizokaa pale.
Basi nikaenda stand nikanunua dera...zile nguo nyingine nikatia mfukoni, nikapanda Tashriff...mbio kurudi Dar.
Tangu siku hiyo....nikiona hata sms yake najihisi kunyya kunyya....japo nilikuwa napata kila kitu, ila nilikoma.
Nikasema siku akija Dar tu...sitembelei bar yoyote mpk aondoke.
Nilikoma aisee
Japo sijaacha kudanga, ile ni ajali tu kazini
2. Danguo la pili nilienda Nairobi.....chinekeeeeeeee!!!!!!
Kwetu raha tu.
Pole ya nini?Madame B huja sema yote. .ila nakupa pole.
Boss huwa hatutumi nauli siku hizi, kama hana ungemwambia hata akope akifika unamrudishia nauli yake. Pole brotherUnakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.
Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabisa wote ni kundi moja tu.
Piga kimya mkuu ushaliwa hapo.maana wengine ni midume inashirikiaana na kikundi hicho kuchomoa watu hela..unatakiwa unalipia hapo hapo na unakamua hapo hapo jipu zako 2 unasepaUnakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.
Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabisa wote ni kundi moja tu.
Hiki kitu ni hatari, hawana tofauti na wale wanaojipanga kujiuza, ni vizuri kuwa na tahadhariUnakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.