enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,110
- 3,674
Mshaambiwa msitume nauli
Hiyo inaitwa pusi kala dogi
Hiyo inaitwa pusi kala dogi
Haya mambo hayana uhuni, ukiwa rijali lazima yakutokee.Mtoa mada wahuni wamekupiga
labda kapata ajali inabidi uende polisi kuulizia kama kuna ajali imetokea barabara hiyo ambaye angeitumia kukufikia
Kidogo sasa yaaan watu hawana huruma netuma nauli elf 35 elf 15 ya kula njian daaaaaah
Hyo hela ungemtumia mama yako saivi ungekuta unapokea tu simu za asante mwanangu Mungu akubariki. Lakini kwa sababu ulifikiria kwa kutumia kichwa cha chini endelea kusubiri danga lako
Kidogo sasa yaaan watu hawana huruma netuma nauli elf 35 elf 15 ya kula njian daaaaaah
Kanj kachukua chakechukulia kama ume bet tu..
siku nyingi!!Kanj kachukua chake
Mimi alivyo mpuuzi alinizimia simu kbla hajatoa pesa. Plan yake alale kitoe kesho.
Mxiuuu
Nikawaendea tigo hewani.
Ndani ya dakika sifuri mzigo 40k huu hapa returned.
Kesho yake asubuhi nikawa nalichora tu m mameseji yake.
Mxiuu kabisa.
Sasa hivi ni mwendo wa tiketi hataki aache