Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

I can imagine njeree, sio jambo jepesi kihivyo..

Ukiwaza sana unaona bora tu kujichepukia ili angalau iwe 50/50. Ili hata ukigundua uifariji nafsi kuwa na mimi mbona nafanya.

Wao wanachepuka na sisi tunachepuka lakini tatizo ni kuwa sisi tunajiona kama tuna uhalali wakufanya hivyo.

Nilichojifunza kumbe machungu ni sawa kwa wote, kumbe nao wanaumia sana kama sisi ambavyo tuligundua wameliwa huko nje.

Mpaka sasa bado sijajifunza suluhu ya kufanya wake kwa waume tusichepuke.
Na vishawishi ni vingi saana.

May be fuata imani/dini na uwe strictly kabisa. Ukipigwa la kushoto ugeuze na la kulia.
 
AHJHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHA!

NAOMBA NIKUNUNULIE TUSKER BARIDI AISEE!
pls!
niandikie tu namba ya wakala nitume hata bia tatu!usiandike namba yako!wakala tu utakapoenda kuchukulia!
Hahaaaaaa snowhite haya mambo yasikie/kuyasoma tuu yanaumiza sana.

Yaani wewe umeamua kuacha kila kitu kizuri na kibaya kwa ajili ya heshima na mustkabali wenu alafu unabaini mwenzio kabanduliwa na jamaa Fulani.
 
Kumbe siko mwenyewe ninaye mshangaa!, anaonekana kabisa mgeni kwenye haya mambo. Eti anamtoa mwanamke machozi!!!!

Hahah!, chuma cha mjerumani tulizana tukufunde kwanza, utakuwa unalizwa wewe badala ya
kumliza mtu.

teh teh teh nimecheka kwa masikito wakati nawavua wenzako chupi wewe ulikuwa bikra.

unifunde????????

uko katavi internet itakuwa inasumbua nahisi uko juu ya mti ata kamasutra haifunguki nikiwa jando nilifundishwa jinsi kuwaliza nakutukana hovyoo.

ukinisumbua ntakutumia video jinsi namuadabisha mwenzako(black beauty)(mwanachuo) uone watu wanavyolia kwa raha.


onyo: ili mradi usisumbue silagi single mama naheshimu watoto wao
 
Wanawake kwenye kuchepuka wajanja saana. Hadi ukagundue sio kesho.

Unakuta mtu ana account JF. Fb. Insta. Snap na kote anamichepuko na kugundua tu anaaccount zote hizo huwezi jua.
Kumbe mnajua eeeh!! Basi tulieni hivyo hivyo.
 
mwanaume halisi hapangwi ata siku moja ata ningekuwa nao 20 ivi mmewapata wapi hao madume suruale mnaowaendesha? itakuwa mliwapata kwenye mitandao

mimi kama beberu natoa maelekezo yatii bila shuruti.

alafu usifikiri mimi katili sana ikatokea mda wa kula nikiwa nyumban mke wangu na watoto hawajawai kula na mikono yao. saiyoo tumbo limejaa nyama na dompo katoto kachuo kamesha nifanye mwepesiiiiii.
Uwe na mke!!!! Labda james delicios.
 
Hahaaaaaa snowhite haya mambo yasikie/kuyasoma tuu yanaumiza sana.

Yaani wewe umeamua kuacha kila kitu kizuri na kibaya kwa ajili ya heshima na mustkabali wenu alafu unabaini mwenzio kabanduliwa na jamaa Fulani.
Sasa kama wewe umeamua kuacha kila kitu means ushqbanduaaa weee umechoka umeona uache, hivo muache na mkeo abanduliweeee nae akichoka ataacha.... Unataka aache hata hajafaidi? Acha roho mbaya
 
Haha mimi under eitini sio.

Mwanachuo kuna mwenzako chunguza na usikute wife naye anawa kumtuliza unapokuwa kwa mwanachuo


ukiishi mjini utayaelewa haya wewe siwez salitiwa kwenye mapenzi kwenye biashara sitakataa. unakuwa mwalimu mwanafunzi wako anakuwa raisi hiyoo ipoo. lakini kwenye mapenzi never.


ivi bogasi ni jina lako kabisaa au ni nick(niki) name tuu????
 
Wabichi ndio hao wa chuo au unaongelea ubichi wa nguo? Asee kaka kuwa makini tu.
Hizo hela unazomuhonga ungeweka kwa ajili ya shule ya watoto wako ingekuwa vyema zaidi kuliko kumlipia mchepuko shule halafu akimaliza chuo anamalizana na wewe pia.
Eti mwanaume wa shoka!!! Mwanaume wa shoka anajisifia ujinga uliwahi ona wapi!! I pity the kids.
 
Uovu Uovu tu awe kafanya mwanamke au mwanaume.

Japo haya mambo kiuhalisia yamekosa suluhisho kila mmoja apambane kwa hali yake.
Nakubaliana na wewe kabisa..

Hata sababu za mambo yenyewe zina controversial nyingi mno. Sababu za huyu zinatofautiana na yule.

Unaweza mpenda sana but kuna kitu anachokipenda/kukitamani akakitafuta kwingineko huko mitaani.
 
Back
Top Bottom