Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Huyu nahisi bado hajawajua wanawake nahisi ni mgeni kabisa ndo maana anajisifia kwa sifa yakumtoa mwanamke machozi.

Machozi kwa mwanamke mchezoooooo!!!!! Hivi walivyoambiwa waishi na mwanamke kwa akili walifikiri jambo dogo!!!!

Masikini huyu dogo aachane na kitu inayoitwa mwanamke yeye akitaka kuchepuka achepuke zake hamu ikimwishia arudi kwa upole nyumbani siyo kwa majisifu hayo.
Kumbe siko mwenyewe ninaye mshangaa!, anaonekana kabisa mgeni kwenye haya mambo. Eti anamtoa mwanamke machozi!!!!

Hahah!, chuma cha mjerumani tulizana tukufunde kwanza, utakuwa unalizwa wewe badala ya kumliza mtu.
 
Na mnavyojua kutaja majina hadi ya mitume na prophets.

Utaskia baba D hakiya sijui nani na nani sijawahi.
Haha haaaaa! Hivi viumbe hivi vilikirimiwa nishani za kutudanganya na tukawaamini.

Mi stakagi kabisa kujipa kazi ya upelelezi. Mtu mzima aliyeamua kufanya yake ni ngumu sana kumkabili.
 
Ni kuishi kama haujui. Ukisema ufuatilie utateseka sana.

Ila mimi huwa nasema siku nikimkamata mama klaree anachepuka sijui nitafanya nini.
Hahaaaa Sasa unajikuta umebaini pasina kuacha shaka yoyote kuwa mama klaree kashapigishwa kwata huko nje.

Utafanyaje utamuacha? Utamsamehe huku roho ibaki inauma? Utaenda kuanza upya na mwingine? Je naye akichepushwa?

Nini hatima ya kipenzi chako klaree? Je zile ndoto za maisha yako na mipango yako/yenu na ma klaree?
 
Huyu nahisi bado hajawajua wanawake nahisi ni mgeni kabisa ndo maana anajisifia kwa sifa yakumtoa mwanamke machozi.

Machozi kwa mwanamke mchezoooooo!!!!! Hivi walivyoambiwa waishi na mwanamke kwa akili walifikiri jambo dogo!!!!

Masikini huyu dogo aachane na kitu inayoitwa mwanamke yeye akitaka kuchepuka achepuke zake hamu ikimwishia arudi kwa upole nyumbani siyo kwa majisifu hayo.
ANAJIKUTA KITUNGUU HA HA HA ETI KAMTOA MWANAMKE CHOZI
 
Hahaaaa Sasa unajikuta umebaini pasina kuacha shaka yoyote kuwa mama klaree kashapigishwa kwata huko nje.

Utafanyaje utamuacha? Utamsamehe huku roho ibaki inauma? Utaenda kuanza upya na mwingine? Je naye akichepushwa?

Nini hatima ya kipenzi chako klaree? Je zile ndoto za maisha yako na mipango yako/yenu na ma klaree?

Na hapo ndipo ugumu wa maamuzi unapokuja.
Watoto.
Jamii hasa wazazi wa pande zote.
Ndoto zako na za mkeo.
Maisha ya nyuma. Nk.

Ngoda wewe unaweza kumezea na ukasamehee yakaisha? Binafsi sipendi kuinafikia nafsi yangu siwezi.
 
Hili nalo ni jipu asee, yaani kwa kweli kichwa cha nyumba na baba wa familia atulie ndani kucheza na watoto badala ya kwenda bar mbona watasema kapewa limbwata na kuonekana wa ajabu wakati inatakuwa kuwa ni kawaida.
Duh!, halafu sisi wanawake ndio wanasema aliyeturoga kafa, mweh!, mweh!, mweh!..
Yaani kazi tunayo siyo kidogo. Ukiwakuta sasa wanavyojazana ujinga utachoka na nafsi yako. Wao huwa wanaangalia wake zao(ambao its obvious hawawajali wala kuwaumiza vichwa) hawakumbuki kuwa wana na watoto ambao wanajifunza kutoka kwao.
 
Kitendo cha kujisifu umemtoa mwanamke machozi kimedhihirisha huwajui wanawake wewe ni dogo

wanawake nawajua sana ndo maana na wa divide Na kuwa rule nitakavyo. akili zenu hazitoshi ata kiganja cha mkono wakushoto.

nikikwambia analia amini usipo amini hutaamini pia ninavyo kwambia akili zenu nifupi.
 
Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???
Ndio inabidi tuanze kuwafuatilia maana ukute hali si hali tayari alafu tupo tumetulia tu!!!
 
Na hapo ndipo ugumu wa maamuzi unapokuja.
Watoto.
Jamii hasa wazazi wa pande zote.
Ndoto zako na za mkeo.
Maisha ya nyuma. Nk.

Ngoda wewe unaweza kumezea na ukasamehee yakaisha? Binafsi sipendi kuinafikia nafsi yangu siwezi.
From my heart naweza.... Aseee mapenzi niliyo nayo kwa wanangu ni makuu mno sana sana. Ingawa kuna changamoto zake aseeee ooh!

Lakini ikitokea hivyo nitajiuliza binafsi pengine nimechangia hali hiyo kutokea.

Nikijua na akijua nimejua itanibidi pia kuhojiana nini chanzo haswa kwa jambo hilo kutokea?

Mkuu kuna moment inabidi kujilipua ili kufanya sacrifice no way, ila kwetu wanaume huu ni mtihani asikwambie mtu.
 
wanawake nawajua sana ndo maana na wa divide Na kuwa rule nitakavyo. akili zenu hazitoshi ata kiganja cha mkono wakushoto.

nikikwambia analia amini usipo amini hutaamini pia ninavyo kwambia akili zenu nifupi.
Mkuu wanawake wana akili saana. Wanajua kuficha siri saana.

Na wakifanya kosa ukalihisi basi atalia na kutaja majina yote ili uonekane unamsingizia tu.
 
Nyie Watu! Nalendwa kwa hujaona "ubuyu" wa Zari? Hebu kale ubuyu kuleee...

Tukichepuka tunaenda kwa mabinti kigoli wabichi wabichi. Teh
Wacha we!! Kwni hao mabinti si wanawake? Inabidi tuanze kuwafuatilia, ukute ndio nyie mwaharibu watoto wetu wa kiume
 
Jamaa anasema kisa kamtoa mwanamke chozi basi hachepuki ama?

wewe chalii nani kakupa simu uingie mitandaoni ili hali uko anda( under) 18????

wanaume tuna kazi kupambana na wake zetu plus watoto kama wewe.

namshukuru mwanachuo wangu ananitulizaga hizi stres zote
 
Back
Top Bottom