nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,831
- 1,941
Labda kina James na kaoge hata mie inanishangaza.Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???
