Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

From my heart naweza.... Aseee mapenzi niliyo nayo kwa wanangu ni makuu mno sana sana. Ingawa kuna changamoto zake aseeee ooh!

Lakini ikitokea hivyo nitajiuliza binafsi pengine nimechangia hali hiyo kutokea.

Nikijua na akijua nimejua itanibidi pia kuhojiana nini chanzo haswa kwa jambo hilo kutokea?

Mkuu kuna moment inabidi kujilipua ili kufanya sacrifice no way, ila kwetu wanaume huu ni mtihani asikwambie mtu.
Watu wanachanganyikiwa wengine wanajiua.

Chukulia instance ya yule jamaa wa kikurya alikuwa hajamwoa hata yule mwanamke ila kumegewa na bosi wake tu akajiua.
 
.usishindane na mwanaume mama irene wewe kazi yako nikuzaa tuu. kufanya kazi ni kihere here chako na ndo wanawake wengi mko hivyoo.


mke wangu nilimwambia ntamuingizia kila mwezi 700,000 kwenye account mbali na matumizi ili mradi anasimamia kazi. bado anakomaa na mshahara wa 650,000 ambao ata sijawai uona. sijui account yake imetoboka hela zinavuja.


wanawake badilikeni muwe mnatumia akili sio makalio.
Alafu eti mkeo asichepuke!!! Thubutu yako.
 
wewe chalii nani kakupa simu uingie mitandaoni ili hali uko anda( under) 18????

wanaume tuna kazi kupambana na wake zetu plus watoto kama wewe.

namshukuru mwanachuo wangu ananitulizaga hizi stres zote

Haha mimi under eitini sio.

Mwanachuo kuna mwenzako chunguza na usikute wife naye anawa kumtuliza unapokuwa kwa mwanachuo
 
Yaani kazi tunayo siyo kidogo. Ukiwakuta sasa wanavyojazana ujinga utachoka na nafsi yako. Wao huwa wanaangalia wake zao(ambao its obvious hawawajali wala kuwaumiza vichwa) hawakumbuki kuwa wana na watoto ambao wanajifunza kutoka kwao.

Inasikitisha, wa kuwaombea haswa.
 
kumbe na wewe fyatuu. nitembee na shoga wakati watoto wabichi wapo.

ukitaka nirudishe penzi kaa utulie usinipekue/usinichunguze na wivu wakitoto uache.

ukifanya hivyoo ata michepuko naacha.
We si ulimsifia jamani mbona wabadili uelekeo!!!
Kukupekua haupekuliwi ila nawe usimpekue mwenzio, muache apewe maraha.
 
Watu wanachanganyikiwa wengine wanajiua.

Chukulia instance ya yule jamaa wa kikurya alikuwa hajamwoa hata yule mwanamke ila kumegewa na bosi wake tu akajiua.
I can imagine njeree, sio jambo jepesi kihivyo..

Ukiwaza sana unaona bora tu kujichepukia ili angalau iwe 50/50. Ili hata ukigundua uifariji nafsi kuwa na mimi mbona nafanya.

Wao wanachepuka na sisi tunachepuka lakini tatizo ni kuwa sisi tunajiona kama tuna uhalali wakufanya hivyo.

Nilichojifunza kumbe machungu ni sawa kwa wote, kumbe nao wanaumia sana kama sisi ambavyo tuligundua wameliwa huko nje.

Mpaka sasa bado sijajifunza suluhu ya kufanya wake kwa waume tusichepuke.
 
nao usicheke haya ni majanga ujue..

Kuchapiwa wakati we umeamua kuacha yote ujue inauma sanaa?
AHJHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHA!

NAOMBA NIKUNUNULIE TUSKER BARIDI AISEE!
pls!
niandikie tu namba ya wakala nitume hata bia tatu!usiandike namba yako!wakala tu utakapoenda kuchukulia!
 
Back
Top Bottom