Ukifuatilia watu wengi hata waliosoma elimu zao na walio fanikiwa wamesimamiwa na mama zao, baba zao walikuwa wanakimbizana na vyupi vya wanawake huko baada ya watoto kukua wanarudisha hoho zao nyumbani nakushangaa wewe yawezekana vitumbua na mandazi ya mama yako yamekufikisha hapaKizazi kipi unachoongelea,kizazi hikihiki ambacho hata mwanamke kua rais ni ndoto za mchana kweupe,au umedanganywa na mwanamke kuwa makamu wa rais?
Teh..We Dada nimekupenda gafla..Uamuzi Kuntu kabisa...Safi sanaToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Culture is dynamic mpendwa. Hata wao wangekuwa zama hizi wasingekuwa kama vile walivyokuwa zama zile. If you want our moms then be our dads.
Huu uzi unazidi kuwapa wadada nguvu za kucheat.
Shikamoo daddyTeh..We Dada nimekupenda gafla..Uamuzi Kuntu kabisa...Safi sana
Brod darlin umerudi tena tehHuu uzi unazidi kuwapa wadada nguvu za kucheat.
Unapotaka kufanya kitu angalia mazingira,mimi napinga baadhi ya wanawake ambao wanasema wanachepuka kwasababu waume zao wanachepuka,na wanachukulia eti jamii itawasapoti kwa kisa cha usawa,sisi hiyo Tanzania bado sehemu kubwa tutashangaa,lakini kwa mwanaume haitashangaza sana kama ilivyo kwa mwanamke,tuwe makini tunapitatua mambo.Ukifuatilia watu wengi hata waliosoma elimu zao na walio fanikiwa wamesimamiwa na mama zao, baba zao walikuwa wanakimbizana na vyupi vya wanawake huko baada ya watoto kukua wanarudisha hoho zao nyumbani nakushangaa wewe yawezekana vitumbua na mandazi ya mama yako yamekufikisha hapa
Yaani baba kawahi nyumbani watoto hawaamini majicho yao, wanahisi huyu kafukuzwa kazi nini!!!Wanakushangaa huyu Dingi vipi
Ndo mtenge muda wenu, upate muda wa kukaa na wanao ucheze nao kama ni cartoon muangalie wote sio muda wote bar kama paka
Majukumu ya kifamilia yenyewe mnajua ni kuhakikisha wamekula,kuvaa, kusoma na wana pa kuishi(pesa) baasi mmemaliza. Ulishawahi hata kukaa na wanao ucheze nao, usome hata vipaji vyao ili uvikuze,kuwasaidia home work,kupiga nao story(ujue nini kinaendelea ktk maisha yao), mfanye family prayer pamoja(hapa ndio mtihani sasa) nk nk nk????Hahahaaaa mkuu unatufananisha na mnyama tena? Kwa kweli kuna kitu kikubwa sana kutoka kwenye collabo yenu nimejifunza. Majukumu ya kifamilia na majukumu ya ndoa ni vitu viwili tofauti na mara nyingi wanaume tunahangaikia majukumu ya kifamilia.
Shikamoo espyMajukumu ya kifamilia yenyewe mnajua ni kuhakikisha wamekula,kuvaa, kusoma na wana pa kuishi(pesa) baasi mmemaliza. Ulishawahi hata kukaa na wanao ucheze nao, usome hata vipaji vyao ili uvikuze,kuwasaidia home work,kupiga nao story(ujue nini kinaendelea ktk maisha yao), mfanye family prayer pamoja(hapa ndio mtihani sasa) nk nk nk????
Kwa sababu mnakoseaHahahah... Afu mm sielewag kwann wanaume wanapenda kugeuzia wenzao makosa
Mmh naona aibu kwa ajili yao.Majukumu ya kifamilia yenyewe mnajua ni kuhakikisha wamekula,kuvaa, kusoma na wana pa kuishi(pesa) baasi mmemaliza. Ulishawahi hata kukaa na wanao ucheze nao, usome hata vipaji vyao ili uvikuze,kuwasaidia home work,kupiga nao story(ujue nini kinaendelea ktk maisha yao), mfanye family prayer pamoja(hapa ndio mtihani sasa) nk nk nk????
.

Haha wala nilikuwa nishalala zangu mie.Heaven Sent kama nakuona vile unasubiria mtu alikuwa anaangalia mpira bar..