Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Benny anakusalimia![emoji4][emoji4][emoji4]Mmh naona aibu kwa ajili yao.
Yani aache kutafuta madeal bar acheze na watoto? Utakuwa umempa limbwata aisew[emoji12] [emoji12] .
Wish hawa wenzetu wangejua wana part kubwa sana katika malezi ya watoto apart from kumeet mahitaji yao ya kifedha. I honestly wish..[emoji22] [emoji22] [emoji22]