Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Hebu nijibu swali langu hapo juu, unapinga mwanamke kuchepuka ila una mchepuko mwanamke, au huyo mwanachuo ni James delicious?
Tehe!, Tehe!, yaani mtu anapigana kutulaani wakati ana mtoto wa chuo. Halafu watoto wa chuo walivyo, pengine nae ana mchepuko wake mwingine na huyu kaka yetu hapa na kelele zake usikute na yeye kapangwa foleni.
Na kama sio hivyo basi James D. ndo wifi yetu nyumba ndogo, au tumwite shemeji sijui...😀