Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,052
Asante ndiyo muache kuumiza wake zenu unavyoumia wewe hata yeye vilevile hana moyo wachuma na kwa mke mwenye busara hawezi from no where aanze kucheat no ss eti m upo mbali miezi 3/4 siku ukirudi umechoka et mpaka mke alilie kidudu kama kama mtoto analilia pipi hiyo haki uvumilivu unamwisho Mungu mwenyewe alisema bora yaishe kwa wana wa Israel na kuwasokomeza baada dhambi kuwa too much, halafu ndoa inapofungwa mwanamme ndiyo huanza kuuzwa, mkigeuziwa mkuki pressure juu acheni kuumiza wenza wenu na majibu yakuudhiUnapotaka kufanya kitu angalia mazingira,mimi napinga baadhi ya wanawake ambao wanasema wanachepuka kwasababu waume zao wanachepuka,na wanachukulia eti jamii itawasapoti kwa kisa cha usawa,sisi hiyo Tanzania bado sehemu kubwa tutashangaa,lakini kwa mwanaume haitashangaza sana kama ilivyo kwa mwanamke,tuwe makini tunapitatua mambo.
