Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,118
- 27,945
Kwasababu Mungu aliwaumba kina hawa 8 na Adam 1 ndiyo maana aliwaacha mchepuke tu, mwenzenu kaacha mke huko yupo na mchepuko sasa mchepuko ndiyo unamichepuko zaidi mpaka ana binjuka mbele ya watoto aliozaa naye halafu eti analia wakati mke halàli yupo nyumbani unafikiri naye akipata taarifa moyo huuma sana bado maradhi wanaume nyie Mungu anawaonaMleta mada unaonekana una asili ya umalaya tu. Mwanamke asiye malaya hawezi kujiingiza kwenye umalaya au uzinzi eti kwa sababu mume wake kafanya. Kinachonekana ni kwamba baada ya kuolewa ulitulia tu pengine kwa hofu kwamba jamii itakuonaje au kwa vile uliogopa kuachika. Lakini waswahili wanasema jasiri haachi asili na ndio maana uliamua kutafuta kila sababu ya kukurudisha kwenye asili yako. Kama mumeo ni malaya hata wewe alikupata kwenye anga za umalaya. Kwa hiyo usitumie umalaya wa mumeo kama kisingizio cha wewe kuwa malaya. Kwanza hata siku moja hujamfumania mumeo wala kuwa na ushahidi kuwa amechepuka. Ila endelea kugongwa tu nje. Ongeza hata wafike ishirini matokeo utayaona baadae. Kamwe mwanamke usishindane umalaya na mwanamume kwa kuwa yeye ameumbwa kutoa huduma hiyo masaa 24. Hana siku za hedhi wala kubeba mimba. Mungu hakuwa mjinga aliyeweka maumbile ya wanawake kuwa tofauti na wanaume. Shame on you.