Kuchepuka raha

Weka japo comment yangu moja hapa inayomtetea mwanaume anayefanya uovu kama wa huyu mama anayejisifu hapa mtandaoni. Uovu siku zote ni mbaya unapofanywa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Kwanini unapenda kuonyesha kuwa anachokifanya mtoa hoja ni halali kwasababu tu hata mume wake anafanya? Ni ujinga kufanya mashindano katika kufanya uovu!
Sio mashindano, bali anatafuta kile kitu amekosa kwa mumewe. Na amekipata.
 
Hongera Dada kaza Mwendo kama umepata raha huko, ila nakushauri hamia uko.

Kuna shida kubwa kuchepuka wengine tumechepuka tukakutana na hayo tumeona ni ujinga tumeamua kuvumilia kama wewe unashangilia kaza mwendo
Hebu tuambie ulipochepuka ulikutana na nini!! Mbona wenzio tuanakutana na raha tu!!!
 
Hongera Dada kaza Mwendo kama umepata raha huko, ila nakushauri hamia uko.

Kuna shida kubwa kuchepuka wengine tumechepuka tukakutana na hayo tumeona ni ujinga tumeamua kuvumilia kama wewe unashangilia kaza mwendo
Usichepuke kwa ajili kumkomoa mtu wala kushindana wala kulipa kisasi
 

Hivo kumbe wapo wasiochepuka eeh!!!
Kuna mama mchungaji flani hivi wa kanisa kubwa tu hapa mjini, asee mama mchungaji anapigwa miti si kitoto ha ha ha afu mida yake ni mida ya kazi saa nane tayari yupo home kuandaa msosi wa baba mchungaji
 
Sasa hivi amani mnoo mapenzi motomoto hata asiporudi akirudi asubuhi nampokea na pole nyingi

Haaah haaaah....wewe umenishinda tabia! Raha jipe mwenyewe, maisha yenyewe yako wapi ya kuwekana roho juu!
 
Nimeona humu jf kuna mademu wamekuunga mkono saaaana. Ikumbukwe humu kuna watu wenye tabia kama za kwako, wengine waliolewa wakaachika, wengine ni waathirika wa vvu; hivyo wangependa kupata wafuasi wengi. Comments zao zimnipa picha ya nani humu ana tabia kama ya kwako. Mwanamke mwenye busara hashinadani na mwanamume kufanya uzinzi bali hutulia akimuombea mumewe aache tabia hiyo.
Teh teh eti amuombee mumewe. Mke nani anamuombea? Hamuwaombei wake zenu ndo maana tabia zao zimebadilika.
 
hahahahahhahahhHHH huu muda amekaa na anabishana na sisi tuko kama sita tunapokezana !
yeye peke yake manake ameshinda humu!

kama ni simu sijui muda gani kamtakia hata hali mkewe!
yet anajipa moyo HACHEPUKI,sijui mimi mwanamke hanifanyii huu ujinga!
AHAHAHAHHAHAA hakyanani!




nabishana watu sita lakini akili zenu ukizijumlisha ni za mwanaune mmoja tena mwenye miaka 22.


ndo maana sulemani alioa wana wanawake zaidi ya 1000 na walikuwa hawamsumbui akili ni kwasababu akili ya mwanaume ni PANA.


na hakuna mwanamke alikuwa anachepuka yani niwe na mke mmoja alafu achepuke nisijue sintakuwa bogasi kama wanaume wenu.
 
Back
Top Bottom