Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Ooh yes i fucked him and it was so amaizing!
Na Yesu alisemaje vile walivyotaka kumpiga mzinzi? Na ni akina nani walikuwa wanapiga mawe, kama sio wanaume!! Ndio ujue roho mbaya mmeanza siku nyingi ndio maana Yesu aliwanyoosha.Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
Mwenye masikio na asikieAsee!, kama vile siamini amini kuwa hii imetoka kwenu!, tunaomba muendelee kujitambua kwa kweli.
Hata kama wengine hawahusiki sana katika haya mambo (asilimia ndogo sana 😀)
You guys should take this as a wake up call. Ni kweli kwamba katika jamii yetu alivyofanya huyu dada ni kitu cha ajabu sana, lakini pia ni kama vile amefungulia mlango baadhi ya wakina dada ambao hufanya haya mambo private wanapozidiwa na ukame wakati mnaenda kutafuta mboga nje. Inasikitisha sana pale ambapo haki yako ya ndoa kihalali apewa mwingine halafu Ke ubaki unahangaika.
Nyie mnaweza kujitapa kuwa na michepuko na cha kusikitisha ni kwamba, jamii yetu imelipitisha hili swala kama vile mswaada bungeni. As we all know, it's not strange anymore kwa kidume kuwa na nyumba ndogo na hata baadhi ya wakina dada wenye waume zao wamekubaliana na mswaada huo kuwa, "it's okay for mume to have mchepuko as long as hawaujui"
Ni hali tu ya kukata tamaa, cos hata kama hatupendi ndio ambavyo mmeamua iwe. Because it's your "Fake Nature" but it's so not fair kwetu. Na matokeo yake ndo haya sasa, na sisi tunarudisha majibu lakini undercover na kutoa ushuhuda JF. Sasa kama mpo humu mnatusoma na kutafakari kama ndo sisi wake zenu tunaowapokea kwa upole mkurudi pasipo kujua kwa nini tuko Ok na tabasamu hata kama mmerudi manane ya usiku... now you can go figure!..
Tulia na mwenzio apate raha, we na kibamia chalo alafu unataka umbane bane mwenzio!!eeh mimi nfio![]()
![]()
![]()
![]()
Nivue nguo dudu isiingie? Acha masihara basiHilo neno '' yes'' likimtoka maelezo mengine atayaendeleza tukiwa kaburini. Kwanini asinidanganye kuwa pamoja na kuvua nguo lakini dudu haikuingia? Aone kama sitamsamehe? Kukubali ni dharau kubwa sana
Umehitimisha kwa busara kabisa. Aliyekuelewa na akuelewe!ON A VERY SERIOUS NOTE!
LAITI WEWE NI MWANAUME!
UNA FANYA MAMBO HAYA MIONGONI MWA YALIYOANDIKWA HAPA!
MKEO AWE ANAJUA AU HAJUI(MAANA WE ARE GOOD AT MAKING YU FOOLS PIA)
NAWEZA KABISA KUJIFANYA SIJUI LOLOTE NA NISIKUULIZE LOLOTE!
so KUTOKUULIZWA KUSIWAPE IMANI KUWA WAKE ZENU HAWAJUI MNAYOYAFANYA!
niwasaidie tu kaka znagu!
WAKE ZENU WANAPIGWA MITI HUKO NJE BALAA!
NA I AM TELLING YU ,THE RATE WALA SIO HIYO MNAYOFIKIRIA!
ITS WORSE!
KIUKWELI WANAWAKE WANACHEPUKA KULIKO WANAUME!
MNAAMINIGA IT IS THE OPP!SIO KWELI!
MMEWAFIKISHA WANAWAKE MAHALI HAWANA TENA NGUZO YA KUSEMA NALINDA NDOA,NAJIKINGA NA MARADHI,NATAKA HESHIMA YANGU!
KWA AINA YA MAISHA MNAYOISHI!
HAYA YA KUTOKUWAJIBIKA NA FAMILIA,UMALAYA,MAKWAZO,ULEVI,UZINZI WA KUTISHA KABISA,YA KAGOLI KAMOJA KWA WIKI,MENGINE UNAWAWEKEA WENGINE , I AM TELLING U
HAKUNA MWANAMKE ATAKUWA NA MWANAUME WA AINA HIYO AKAWA TU ANAKUANGALIA ETI MKE MWEMA!
kuna vitu vinawaondolea AUDACITY KABISA YA KUDEMAND HESHIMA YA KUWA WAUME !
MJIREKEBISHE!
MBADILIKE!
NDOA HAIKUFUNGWA NA MTU MMOJA!
MSIWAACHIE WAK ZENU JUKUMU LA KUDUMISHA NDOA!
MNABUGI MBYAAAA!
Ooh yes i fucked him and it was so amaizing!
Huyu mwanaume anaepokea hilo jibu lazma tutamuimbia parapanda 😀😀😀Ooh yes i fucked him and it was so amaizing!
AMINA.Na wote tuseme AMEN
Hatushindani bali tunafuata mafundisho mlotufundisha,hebu hata utupongezepo jamàni.
Yaani wewe kama mkeo hachepuki atakuwa anaumwa kifafa.baada ya ndoto yako kuolewa kutimia na nyumbani mlikuwa mnakula kwa kale kamsemo cheza mbali ungarobo
umekuja kwa mume nyama kwa week mara tatu umekula bila mpangilio umekuwa bonge kiuno ata hakikatiki tena.
ata kama ni wewe ungekuwa mwanaume ungechepuka tuu.
Bahati nzuri hayajamkuta mwenzetu peke yake, na mwenzenu amekuwa mkaa!Wewe unaona raha kuchepuka mwenzio huko Arusha yamemkuta amebanikwa kwenye moto na mchepuko wake tafakari na uchukue hatua yasije kukuta
We hufikirii kama na mimi nitabaki salama au vipi? Hili jibu nalitoa kimoyo moyo!Huyu mwanaume anaepokea hilo jibu lazma tutamuimbia parapanda 😀😀😀
Ataenda mochwari kula kiyoyozi




Yaani wewe kama mkeo hachepuki atakuwa anaumwa kifafa.
Msijali ndio tumetulia hivyo, na watoto tutalea tu, ila tusiulizane ni wa nani? We leta tu pesa.nyie tulieni bhana kazi yenu ni kuturidhisha,kuzaa, na kutunza watoto na kutuandalia tulete pesa nyumbani.