Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Chepuka lakini mambo ya kuanza kumsema eti kabamia ni upumbavu.Ina maana sasa ndio unagundua kuwa ana kabamia?
Sikuwahi kupata ya mwanaume mwingine kwahiyo nilikua namjua yy tu baada ya kuonja nje ndio nimejua sio lolote alivyokua ananinyimaga hat mwez akirudi eti amechoka nakosa usingiz usk kucha na ililia
 
hehehehehe... Sasa huko sio kabisa, wasije wakapata pressure wasizozitarajia..

Katika vitu ambavyo sipendi tupekuane ni hivyo.. Unless uombe ruhusa, ila kamwe sitashika yako na wewe wala usishike yangu.. Sio kwa ubaya lakini hahahaa
Wachepukaji utawajua tu.
 
Mwanamke kama wewe ni kukuwekea mtego tu siku nakukamata utafungasha virago siku hiyohiyo urudi kwenu. Pumbavu sana.
Kwani yy hana akili mpaka akamatwe muosha naye huoshwa povu lanini mnakimbia nyapu za wake zenu michepuko ndiyo mnaipa nafasi mpaka simu zenu wanasoma lakini wake zenu password za viluga vyenu pumbavu kabisa watakea hao mpaka msahaulike kama mna wake
 
Sikuwahi kupata ya mwanaume mwingine kwahiyo nilikua namjua yy tu baada ya kuonja nje ndio nimejua sio lolote alivyokua ananinyimaga hat mwez akirudi eti amechoka nakosa usingiz usk kucha na ililia
Mkuu, mfungo unakaribia. Hii post itakuwa inaharibu swaumu yetu. Hakyanani I can't imagine...., I just want her to be mine, nooooo sharing !!!
 
Kuchepuka ntabaki Nikisikia nina mke mzuri nje na ndani sihitaji uchafu kwangu
Hongera kwa kudhamini mke wenzio tunawakamata na chart za baby zao ukiuliza unaambiwa ulichokuwa unakitafuta kwenye simu umekipata na kwanini unadukua simu yangu, hapo mke ufanyeje wakati unaweza bembelezwa hata huko waume mnafundisha wake zenu tabia mbaya
 
Kwani yy hana akili mpaka akamatwe muosha naye huoshwa povu lanini mnakimbia nyapu za wake zenu michepuko ndiyo mnaipa nafasi mpaka simu zenu wanasoma lakini wake zenu password za viluga vyenu pumbavu kabisa watakea hao mpaka msahaulike kama mna wake
Umenichekesha balaaa....
.
.
Passwords za viluga!
 
Huyu mwanamke wa kumfungasha karne hii sijui anafanana vipi.....
Familia nyingi zina baba picha tu msosi mama ada mama, kodi mama baba umening'iniza kadudu afu wasema utafumfungasha??? Unachekesha
We Mwanamke weweee ooohooo noti tu zat eksitenti... Hebu tutajie hiyo sample size yako ya huo utafiti wako.

Wazee wetu walikuwa makini sana walipokuwa wanataka mkae home mletewe kila kitu sasa nyakati hizi unakuta mke ana kaTGS Kakubwa kuliko mume... Aiseee kazi tunayo lazima mtudandie vichwani. Hilo povu sio la Tanzagiza hii.
 
Mkuu, mfungo unakaribia. Hii post itakuwa inaharibu swaumu yetu. Hakyanani I can't imagine...., I just want her to be mine, nooooo sharing !!!
Nilikwambia umeona? Hakutest before use. Ndo madhara yake hayo.
.
.
Poor girl ona amekutwa bikira na bado mume hamthamini.
.
.
Chepuka tu bidada, you have my support..usije ukafa kabla hujakunwa kisawasawa!
 
Wachepukaji utawajua tu.
Sio habari za kuchepuka mkuu, tunapunguziana pressure tu na maswali yasiyo na msingi.. Mimi wakati nakuwa hata kushika simu za dada zangu ilikuwa ni mwiko.. Na nikishika kule Gallery, Inbox, Sent Items nilikuwa hata sithubutu kufungua kama sijaruhusiwa..
 
Sikuwahi kupata ya mwanaume mwingine kwahiyo nilikua namjua yy tu baada ya kuonja nje ndio nimejua sio lolote alivyokua ananinyimaga hat mwez akirudi eti amechoka nakosa usingiz usk kucha na ililia
Kumbe unapenda ndefuu eeh
 
We Mwanamke weweee ooohooo noti tu zat eksitenti... Hebu tutajie hiyo sample size yako ya huo utafiti wako.

Wazee wetu walikuwa makini sana walipokuwa wanataka mkae home mletewe kila kitu sasa nyakati hizi unakuta mke ana kaTGS Kakubwa kuliko mume... Aiseee kazi tunayo lazima mtudandie vichwani. Hilo povu sio la Tanzagiza hii.
Hehe!, ndio mjipange vizuri sasa.
 
Back
Top Bottom