FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Mbona wa mikoani ndio huja kununua vitu Dar?? Inakuwaje Dar kuwe na gharama kuliko mikoani?Mji wa dar ni mji wa gharama sana, atakaeshindwa aondoke tu.
Labda kwa chakula tu, nako tofauti sio kubwa hivyo..

