Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Hili nalo la kucheza mechi za nje mpaka mume kumsahau mkewe ni tatizo kubwa na labda ndiyo chanzo cha kurudi nyumbani na kuikimbia papuchi, "Nimechoka leo" utaishije na mkeo humgusi wiki wiki mbili au hata mwezi kwa kisingizio cha uchovu!? Kazi kweli kweli nadhani baadhi ya ndoa ni jina tu lakini uhalisia kila mtu yuko kivyake vyake zaidi.
Kwa kweli what matters the most to us ni kuishi tu pamoja, ya humo ndani yatajiju
 
Ubaya wa mwanamke akichepuka lazima mwanaume ujue.angalia usije kukamatwa tu labda huyo mumeo awe fala.
 
Sijakariri that is a practice na ni nature... do whatever you can lakini nature itabaki, mwisho wa siku wanaume watakutumia, kukutemea kisha wanaku-damp.

Lets go, provided you dont buy that shit .....Tehe teheee
Inaoneka unadharau kwa kuwa mnatumwagiwa afu unasema mnatutumia na kutudampu yaan unajisifu hushawai kufikiria kuwa baba yako alimmwagia mama yako ukatokea we we?ulishai fikiria kuwa hadi uitwe baba inabid ummwagie mkeo /mpnz wako ndo update mtoto?mi naona we ni kivulana sio mwanaume na pia ulishawai jifikiria kuwa km mwanamke anamdharau sababu unamwagia kwann usimwage kwa mwanaume mwenzio ambae ni WA thaman kwako ?au ukamwaga kwenye boxer yako ,?muwe mnatafakar kabla yakuandika hapo anapomwaga ndipo mlipotokea na atatokea mtoto wako ,afu zaidi ya yote bado alietuumba alituona ni vema nyie mtumwagiwe kama wewe unatudharau jua unamdharau alie tuumba hadi mama na baba yako unawadharau shame upon you huna akil kivulana wewe hebu umba WA kwako
 
Mwanamke kama wewe ni kukuwekea mtego tu siku nakukamata utafungasha virago siku hiyohiyo urudi kwenu. Pumbavu sana.
 
Naona hapo umekamilisha msemo wa haki sawa.....hongera kwa uozo wako................
 
Teh teh wanaume wa jf wanafiki sana. Hapa ingekuwa ni mwanaume kapost basi angepongezwa vya kutosha. Angesifiwa kwa kuvuta kitu, wengine wangesema safi sana ndio dawa yao.
.
.
Chepuka tu bidada. K ni yako, ndoa ni yako! Life is too short!
Just be careful!
Endeleeni kumdanganya ili siku akivurumushwa mumsaidie kukaa nae. Aliyesema wanawake wana akili fupi hakukosea aisee.
 
Inaoneka unadharau kwa kuwa mnatumwagiwa afu unasema mnatutumia na kutudampu yaan unajisifu hushawai kufikiria kuwa baba yako alimmwagia mama yako ukatokea we we?ulishai fikiria kuwa hadi uitwe baba inabid ummwagie mkeo /mpnz wako ndo update mtoto?mi naona we ni kivulana sio mwanaume na pia ulishawai jifikiria kuwa km mwanamke anamdharau sababu unamwagia kwann usimwage kwa mwanaume mwenzio ambae ni WA thaman kwako ?au ukamwaga kwenye boxer yako ,?muwe mnatafakar kabla yakuandika hapo anapomwaga ndipo mlipotokea na atatokea mtoto wako ,afu zaidi ya yote bado alietuumba alituona ni vema nyie mtumwagiwe kama wewe unatudharau jua unamdharau alie tuumba hadi mama na baba yako unawadharau shame upon you huna akil kivulana wewe hebu umba WA kwako
Sijakuelewa ni nini umenijibu. Nilichoandika na ulichoquote ni tofauti. Mimi ni mwanamke na si mwanaume. Hakuna dharau yoyote niliyoionyesha kwenye maneno yangu. Labda unifafanulie...Soma vizuri kabla ya kuquote!
 
Back
Top Bottom