Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,374
Ni mkeo nini!!sasa hilo la kibamia linakujaje huku?? mngese sana wewe
Ni mkeo nini!!sasa hilo la kibamia linakujaje huku?? mngese sana wewe
Mkuki kwa nguruwe mamaLeo ni woman of a person maana hana list huyu, ila nashangaa watu wanataka kummeza.
Siuombe talakaToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Kimya kimya majibu atawapa mkemia mkuuHakuna kitu kama hicho nyie mnajiona mna mioyo ya nyama ila mwanamke tuna vyuma .. mnachepuka mbaya zaidi mnaenda mbali na kutudharau tukochepuka ooh atapata anguko ungekuwa unanitimizia mqhitaji yangu na kunisikiliza sa ngapi ningepata muda wa kuchepuka ila kwa sababu mna kiburi Acha tufanye kimya kimya tu
zao.utaipata tu siku moja.. usikate tamaaMe najitahidi kweli kuwafundisha, ila sijawahi kupata positive response
Kumbe na wanaume nao hawapendani kama wanawake, maana jinsi wanavyosifianaga kuhusu michepuko![LIST=1 said:[*]Wanawake hawapendani kabisa, Badala ya Kumshauri na kumwambia huo haukuwa uamzi sahihi lakini matokeo yake wanamsifia na kusema kuwa Bora awamkomeshe
[/LIST]
Hivi kumbe Biblia huwa mnaijua eeeh!! Nilijua mnamfahamu Suleiman na Daudi tu basi!!!Bora umempa mstari wa bible kabisa
Naamini kila mwanamke anatakiwa kabla ya maamuzi magumu ajaribu kujenga ikishindika aiseehivi ulikuwa wapi na hizi akili? tukae chini tuyarekenishe, siyo nawe ujitie kimbele mbele kukitembeza huko.
kuna watoto huku wanapotea njia, embu baelezee
Umenipata mnyonge wako eeh!! We haya tu. Siku nikichokaaaaa......nilichoona hatuwezi kufikia huko
Sijakata tamaautaipata tu siku moja.. usikate tamaa
Lakini unaweza kuta mama yako alifanya hivyo ujue..Ha haa eti muda bado. Inaweza kuchukua 20 yrs unaomba tu na kukondeana juu! God forgive me sina huo uvumilivu!
Na mpaka apate hiyo akili ya kwenda huko .. mbaya zaiditunatembea na wanaowafananiaKimya kimya majibu atawapa mkemia mkuu![]()
![]()
zao.
Hahaha mnawapenda sana mama zetu eti. Hiki ni kizazi kipya
Nao ni muda wao wa kutuombea sasa.Mnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
That's the spirit..Sijakata tamaa
Na nyie mtuombee tu jamani, ni shetani tuuu. Unadhani hata tunapenda basiii, shetani mbaya sana huyu.habari ya siku? uko salama? kunywa maji kdg afu twende sawa kdg.
Mi sijahalalisha chochote hapa.
Ila wenzenu tumeumbwa wadhaifu kdg kuliko nyie, nyie mmejaaliwa uvumilivu kdg... mtusitiri basi!!!., tujenge wala tusibomoe
Amina!!Atusimamie sote tuzidi kupata busara.