Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hahaa hakujua before kama ni kadudu. Teh not to that extentAll of the sudden kame shrink.![]()
![]()
![]()
Hahaa hakujua before kama ni kadudu. Teh not to that extentAll of the sudden kame shrink.![]()
![]()
![]()
Atajua yeye. Her life..her Choices!Endeleeni kumdanganya ili siku akivurumushwa mumsaidie kukaa nae. Aliyesema wanawake wana akili fupi hakukosea aisee.
nina mke mzuri nje na ndani sihitaji uchafu kwanguInaoneka unadharau kwa kuwa mnatumwagiwa afu unasema mnatutumia na kutudampu yaan unajisifu hushawai kufikiria kuwa baba yako alimmwagia mama yako ukatokea we we?ulishai fikiria kuwa hadi uitwe baba inabid ummwagie mkeo /mpnz wako ndo update mtoto?mi naona we ni kivulana sio mwanaume na pia ulishawai jifikiria kuwa km mwanamke anamdharau sababu unamwagia kwann usimwage kwa mwanaume mwenzio ambae ni WA thaman kwako ?au ukamwaga kwenye boxer yako ,?muwe mnatafakar kabla yakuandika hapo anapomwaga ndipo mlipotokea na atatokea mtoto wako ,afu zaidi ya yote bado alietuumba alituona ni vema nyie mtumwagiwe kama wewe unatudharau jua unamdharau alie tuumba hadi mama na baba yako unawadharau shame upon you huna akil kivulana wewe hebu umba WA kwako
Wanawake wengi wao akili ziko matakoni.Kupitia Mada hii nimejifunza Vitu vingi sana,..
- Wanawake hawapendani kabisa, Badala ya Kumshauri na kumwambia huo haukuwa uamzi sahihi lakini matokeo yake wanamsifia na kusema kuwa Bora awamkomeshe
- Wanawake wamekuwa wepesi wakumsifia wakiwalaumu wanaume kuwa kumbe wanaumia wakilipiziwa lakini wameshindwa kuelewa kuwa Mtoa Mada ana msongo wa Mawazo Makubwa ana Pashwa kushauriwa sana. Mojawapo ya Dalili wa Msongo alionao Mtoa Mada ni Pale alipoanza kukashifu Maumbile ya huyo Mume wake na kuanza kumsifia huo Mwizi.
- Katika Mada zote ambazo Nimewahi kuzisoma na ukweli ni Kwamba siku hizi 50% wote wanachepuka lakini Ukichepuka kwa Kumkashifu uliyemtendea basi hata huyo uliyenaye Umeshamkosa.
- Kingine ni Kweli Walio wengi wanamsikitikia huyo Mchepukaji kwa Kuwa badala ya kutafuta nini kimepelekea Mumewe kubadilika yeye ameamua kutibu Kidonda kwa Kujichoma na kuwa na Vidionda Viwili sasa hajui anatibu kipi na anacha kipi.
Naendelea kujifunza
That's me kabisa bana lol. Nikionaga thread za mwanamke kuchepuka huwa naenjoy sana comments za humu especially za men. Kwa sababu men mmeshaamua kucheat ni nature yenu and you will never be apologetic. Hapa ingekuwa ndo mwanaume anajisifia kuchepuka, weee angeonekanaje rijali. Au mwanaume akiomba tu ushauri mke anasumbua, anapewa the best solution "kuchepuka. My standing on cheating haijawahi kubadilika though, tena haswa kwa wanaume. But please lemme enjoy some mapovu bana![]()
. All in all katika hili jifunzeni kuwa wake zenu wanahitaji sana attention yenu, wewe upo mbali miezi 3 unafika kwa mkeo eti nimechoka, afu ukiwepo unashinda bar kama paka mmh.
Kweli kabisa huyu dada anaujasiri wa hali ya juu sana,Wanaume watambue unavyochepuka nakumwumiza mweza wako wako usifikiri yeye mjinga.Hawa wakinamama wakowengi mjini hapa, at least huyu kakubali anachepuka, ila ni wengi mno, wanaume tumepatwa...
Ukishasema ' nature' huwezi kusema tena imeproof wrong labda artificial ndio inaweza kuproof wrong.Nature ime prove wrong ndugu. Hata wanawake wana dump wanaume na maisha yanasonga.
Utadhani mwanamke anachepuka na mwanaume wa dunia nyingine!
Ni kweli. Msishindane na wanaume mtaumia.Hahaa hawa binadamu bana, eti mwanamke rahisi kuambukizwa.
Mwendo ni kuumia both sides.Ni kweli. Msishindane na wanaume mtaumia.
Huyo mumeo nae ni wakupimwa akili. Mimi nijue mke wangu wa ndoa umeliwa nje huo mtiti wake ni wa Afghanistan kama Siyo Iraq.Kweli kabisa ,ukiona mwanamke amechepuka ujue yamemfika,Mimi nilikuwa mwaminifu sana na ninampenda mno Mme Wang ila kila akitoka masomo yuko mkoa mwingne anaweza kaa miezi 3 hata 4 namvulia cku akirudi hana mda anakwambia nmechoka ilifikia hatua akirud nalilia mapenz kutokana na ile hamu ya kumvumilia lkn hakujali hisia zangu ,yan Mimi ndo nashida ya mapenz yeye wala nilivulia sana sababu nilikuwa na hofu na mungu na upendo nilionao kwa Mume ilifikia mda nikachoka,nikaamua kuwa na mchepuko kiukwel hata simu zake niliona kero akipiga,akisema kakata ticket anarud nikamjibu hata usiporud in shot nilikuwa najikuta namjibu ovyo siku alipoingia ndan ndo kwanza sins hata habar nae na mgongo nikampa kitu ambacho alikiona kigen kazoea akirud nalilia dudu ndo nipewe kwa kutoa machoz nilimjibu nko vizr hivyo apumzike, kiukwel nilinogewa nje na aliniambia nmebadilika nikamjibu kwa jeuri umenibadilisha wewe,alikir makosa sababu alijua mkewe hayuko ivo na toka hapo hakuweza nisumbua aliongeza mapenz na upendo na ndo alizid nipagawisha zaid, kwa kuwa ckupenda kuchepuka na amejutia kosa nikaongea na mchepuko narud kwa ndoa yng na mpaka Leo nko vzr na ndoa yang,niseme tu wanaume sio wote mnajisahau sasa ukiona make nae haelewek ndo unastuka jaribun kurud kwa mstar ,hii inafanya weng wenu kulea watoto wasio WA kwenu kwa mambo km hayo
Mnadanganyana tu hapa.teh teh tehDawa ya moto ni moto maisha yenyewe yakowapi otherwise utaishia kunyonyoka tu ukimwazia hubby.
Mwendo ni kuumia both sides.
Hilo nalo neno mkuuMpaka ngoma itakapowatenganisha