Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Umeongea kwa uchungu sana. Pole!
Yaani hii mada imekuwa na mpambano kwa sababu moja tu.. wanaume wameanza kumponda walivyoona mke anataka kuchepuka...wakaongea as if mke hapaswi kuchepuka.
.
.
Tunashangaa why asiweze kuchepuka na yeye ni binadamu?
Why men kila siku mwenzao akitoa mada za kutendwa na mke majibu anayopata ni kama haya..
mtafutie mwenzake huyo atatulia, bro kwani wanawake wameisha?

Na wanaenda mbali kabisa kupeana mbinu za kuchepuka ili wasikamatwe. Huwa tunawaangalia tu hatutii neno. Mmeshajustify kuwa michepuko ni sehemu ya miili yenu..
.
.
Hatushabikii huyo dada kuchepuka la hasha! Ila akiona sawa na achepuke tu. Mbona ni kawaida? Tumeshazoea michepuko kutoka kwenu, wengine tunaishi tukijua kabisa mume ana mchepuko yaani mpk jina unaujua na mume hakuonei hata chembe ya huruma. Sasa kwa hali hiyo utaniambiaje mimi nizuie hisia zangu kwa wanaume wengine wanaonitamani au kunipenda?
kwa sababu namfikiria mwanamke kama Mama wa mtu fulani...
 
Yaani povu linalotoka hapa nashindwa kuelewa kabisa eti mwanamke akic
hepuka hana akili kabisa kwahiyo mnataka
kutuaminisha mwanaume akichepuka ndo ana akili siyo?

Harafu hasira zote hizo za nini? si tunachepuka na wanaume wenzenu? Mbona mnawaonea wivu namna hiyo acheni bwana.
 
Mmmh umejihalalishia kabisa? Acha huo mchezo, hebu cmama kama mwanamke muombee mumeo ataacha tu, biblia inasema mwanamke atamlinda mume wake kwa maombi, cyo kwakuchepuka dada
 
Ikiwa mke utachepuka sababu mume kafilisika/kaumwa/kaachishwa kazi/ huyo hafanyi vizuri hakuna kipindi kizuri cha kuonyesha upendo kama kipindi ambacho mwenza wako ana matatizo.

Mkuu narudia tena huyu dada kaona njia yake bora kupunguza maumivu ya kudharauliwa baada ya mume kupata mchepuko ni bora na yeye achepuke, hata tushauri vipi ni kitu alichoamua na yupo happy na hilo.

Labda ameona akiondoka atawanyima haki watoto wake ya kukaa na baba yao so akaona ni bora uamuzi achepuke.

Laiti mumewe angeomba msamaha sidhani kama yangefika huko, inabidi tuelemishe pande zote mbili athari za kuchepuka katika ndoa na sio kukemea upande mmoja na mmoja mnauchekea.

Napenda nikiri ni kweli akichepuka mke na mume anaedharaulika ni mke, huo ndiyo uhalisia.
Umesema vyema
 
Yaani povu linalotoka hapa nashindwa kuelewa kabisa eti mwanamke akic
hepuka hana akili kabisa kwahiyo mnataka
kutuaminisha mwanaume akichepuka ndo ana akili siyo?

Harafu hasira zote hizo za nini? si tunachepuka na wanaume wenzenu? Mbona mnawaonea wivu namna hiyo acheni bwana.
Wana wivu kweli hawa majamaa. Unakuta mke nachepuka na mume wa mtu. Ila mimi mke naonekana sina akili..mume wa mtu ana akili tena rijali. Nonsense!
 
Aaah mbona msijali
Ila seriously I know you can't do that eti umkomoe mmeo..

I gave you an assignment yesterday, ebu tafuta hii movie ASAP..

bX0oSVcb.png

75df97fa40f6657231eec3de3eb0d392.jpg


Look at this beautiful family..
War-Room-Table.JPG


Dad should give a little bit of his time for his kids..
maxresdefault.jpg

Ila kiafrika ukifanya hii aiseee utaonekana wa ajabuuu sana.. Baba wanaambiwa mtoto asikuzoee
 
HIVI MNAJUA WEZI WALIVYO HAWANA ADABU???



yaani hata mwanamke akisema Toshaaaa hawezi akasikia (atakuwa tu anajisemea moyoni Usingekileta huku nje)
 
Nawasoma tu lakini, mmefurahi kweli yaani dah! Mungu asimamie wake zetu wazidi kupewa hizi busara aseee...
Read between the lines.
No one is supporting her, ila tunaamini kupitia hii thread kuna vitu vikubwa mmejifunza
1. Unavyoumia mkeo kuchepuka (just a thought of it), ndivyo mkeo anavyoumia na wewe unavyochepuka, tena nyie mnaona fahari kabisa. Mnawaumiza wake zenu sanaaa

2. Stop ignoring your wives. Hiyo attention mnayowapa vimada vyenu huko nje na starehe zenu zisizo na msingi, irudisheni kwa familia zenu

3. No one was born faithful naturally. Hata sisi tunatamani sana wanaume wengine ila tunaamua kuzikana tamaa zetu na kustick na waume wa Ujana wetu (tumeamua kuridhika). Ila nyie sasa mmh
 
Ila seriously I know you can't do that eti umkomoe mmeo..

I gave you an assignment yesterday, ebu tafuta hii movie ASAP..

bX0oSVcb.png

75df97fa40f6657231eec3de3eb0d392.jpg


Look at this beautiful family..
War-Room-Table.JPG


Dad should give a little bit of his time for his kids..
maxresdefault.jpg

Ila kiafrika ukifanya hii aiseee utaonekana wa ajabuuu sana.. Baba wanaambiwa mtoto asikuzoee
Yani nimkomoe mtu kwa kutumia mwili wangu? labda tu niamue kufanya kwa tamaa zangu.

Mmh aisee ngoja nikitulia niiangalie. Wanaume nyie mkiprovide tu mmemaliza malezi yote, tuna safari ndefu sana
 
Inauma eeeeh! Sukumizia na maji.
Nawaona nawaonaa nmehamishia ligi huku
Hata mwanaume anayeelewa nafasi yake katika familia, anaipenda kuijali na kuiheshimu familia yake, anayemuheshimu Mungu na kiapo chake cha ndoa; hutomuona akijiendekeza kuchepuka wala kumkandamiza mwanamke kwa sababu anajua mwisho wa siku, duniani tunapita tu makao yetu ni mbinguni. Yupo busy kutengeneza maisha yake na Mungu kwa sababu ndo kusudi lake duniani na Kumcha Mungu hakuna jinsia. Na wanaume wa hivi are at the verge of extinction kabisa. Amri kumi zimeandikwa kwetu sote, sijaona dhambi iliyoandikwa "hii wanaume hata mkifanya si vibaya sana kama kwa mwanamke".
 
Back
Top Bottom