Kuchepuka raha

Yaani ndugu ulicho ongea ni sawa kabisa wanaume wanyanyasaji sana mtu anasafiri unampokea kwa bashasha lakini yy anakuona kipolo cha juzi dawa yao ndiyo hongera bi dada kwakuimarisha ndoa au unampigia simu vip huko nimechoka nimelala kumbe michepuko inamchosha huko sasa hivi ni JINO KWA JINO MASIKINI HALI MAVI YAKE
 


Good for you!
 
Kabla ya kuchepuka hakujua kuna mandingo huko nje........
Aah wapi, uniambie huyo ndio first wake? Hivi nani ameolewa na first wake...huyo ndio aweza kutojua sizes tofauti, otherwise mmmh!!
 
Giv me a break, kizazi hiki nani anaweza kuoa/kuolewa kabla ya kuchungulia utupu???
Wapo. Kama mtoa mada!
.
.
Si ni lazima msichana ajitunze mpaka siku ya ndoa? Kama vile ambavyo mke hatakiwi kuchepuka?
 
hehehehehe Asante Asante..
 
Yaani leo kschepuka mwanamke ni mwendo wa mawaidha tu.....
 
Hapa hadi wanyama pori wasio na akili za kutambua jema na baya wanatushinda, nawaonea huruma wewe na mmeo maana mnachojitengenezea hapa ni jambo litakalowaweka pabaya muda sio mrefu na kujikuta mnajutia ujinga huu
 
Heheeeee leo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…