Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Furaha ya mwanamme utoka mbavun kwake
Kama mbavu za pili azikusimama imara kuimarisha upendo michepuko lazima.
Me nina mchepuko lakin naona sehem kubwa amesababisha mke wangu.
Kwani mnakosaga sababu sasa!! Ni hivi mtambue tu hamuoi malaika, kwahiyo dont expect yo partner to be perfect. Na haimaanishi kuwa kila siku mtakuwa na furaha, mtakwaruzana lakini utashi mlopewa ndio mtakaotumia ktk kutatua matatizo yenu. Ndio maana mlitofautishwa na wanyama FCS.
 
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
Asanteee....
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Pole kwa kuchelewa kujua hilo. Babu yangu alikuwa na wake wawili, baba ngu alikuwa na wake wawili. Na Mimi (inshaallah) nategemea kurasimisha mchepuko wangu.
Nyumba kubwa akikuzingua unaenda kupata raha kwa Bi Mdogo. Vs is also turuuuu
 
wanawake wa karne hii mungu awasamehe kwa dhambi mnazotufanyia, yani mwanamke umetolewa mahari kabisa afu unaenda kubanjuliwa nje ya ndoa? et kisa kumkomoa mumeo? ujue wanaume tumeumbwa kua na mwanamke zaidi ya mmoja iyo ni nature kabisa na siyo dhambi coz hata mtu wa mungu mfalme suleiman alikua na wanawake lukuki lakini bado alipendwa na mungu. Hivyo enyi wanawake msitake kushindana na sisi maana sisi tumepewa kibali na mungu kuwamiliki wengi wengi ila ni kosa kubwa kwa mungu mwanamke kua na mume zaidi ya mmoja ua kutoka nje ya ndoa. hivyo nakushauri ukatubu na uache kabisa tabia hiyo la sivyo jiandae kuteketea jehanam.
Wewe naye sijui vipi mbona hamtoi mifano ya Isaka wala mzee mwenye busara nyingi mkamilifu na mwelekevu Ayubu, mfalme Suleiman sawa lakini hao wanawake walimpeka kuabudu miungu badala ya Mungu , sasa na nyie kizazi cha wavivu majeuri wasio dhamini wake zao na kuheshimu michepuko, mtachomwa kila siku.,!,
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu. Mi mwenyewe mwanaume japo sijaoa ila kwa sentesi hiyo sio kwamba nakuunga mkono ila kuna tatizo ambalo inabidi tulishughulikie hasa sisi wanaume. Kufanyiana tit for tit kutasababisha uachike ila ulichofanyiwa pia si kizuri. Ni vizuri ungeingia magotini ukaomba kuliko kulipizia kisasi maana huyo akijua utaachwa na mwisho utaumia wewe zaidi ya yeye maana hata wanao hutataani walelewe na mama wa kambo. It is better mwanamke ukatumia ushawishi wako wa kike kumfanya mumeo atulie maana uwezo huo mnao sasa kuja kulipiziana duh!
Soma vizuri comments za wanawake wanacholalamikia ili nawe ukioa usirudie makosa ya wenzio yasije yakakukuta yakuchapiwa chapiwa hovyo
 
Kwani mnakosaga sababu sasa!! Ni hivi mtambue tu hamuoi malaika, kwahiyo dont expect yo partner to be perfect. Na haimaanishi kuwa kila siku mtakuwa na furaha, mtakwaruzana lakini utashi mlopewa ndio mtakaotumia ktk kutatua matatizo yenu. Ndio maana mlitofautisha na wanyama FCS.
Halafu ni rahisi kweli kufika muafaka na nyie viumbe. Hata umkosee vipi mwanamke, muombe msamaha hata kwa chozi la kukiri, loh!! Mama mwenyewe anakuja kukukumbatia na kukusamehe kwa kukubembeleza mkosaji, usichelewe mkosaji, mpige waifu na outing ya nguvu hakuna kulala nyumbani. Kuoa raha sana
 
Kumbe mnaujua udhaifu wetu eeeh!! Basi dont take us for granted.
 
Halafu ni rahisi kweli kufika muafaka na nyie viumbe. Hata umkosee vipi mwanamke, muombe msamaha hata kwa chozi la kukiri, loh!! Mama mwenyewe anakuja kukukumbatia na kukusamehe kwa kukubembeleza mkosaji, usichelewe mkosaji, mpige waifu na outing ya nguvu hakuna kulala nyumbani. Kuoa raha sana
Nayeye akishajua madhaifu yako naye hapohapo afanyi kosa jamani si kuna kipindi mkemia mkuu alitoa data zake 60% ya watoto si wa hao wanaojiita baba zao bali wanalea tu nakuvimbisha vifua mbele wanangu mke lake moyoni
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Have fun as its last, siku akija jua mumeo unaliwa nje haiya weee...utakua mdogo kama pilitoni..enjoy as u can but be ready to count ua losses akija jua na hio supa mtaribo yako itakua hukoooooo
 
Nayeye akishajua madhaifu yako naye hapohapo afanyi kosa jamani si kuna kipindi mkemia mkuu alitoa data zake 60% ya watoto si wa hao wanaojiita baba zao bali wanalea tu nakuvimbisha vifua mbele wanangu mke lake moyoni
lengo lako kutuvunja moyo siyo? Hiyo 60% atabaki nayo mkemia sina muda wa kukagua sura wala vidole vya watoto kama tuna fanana au la
 
tunzeni tu akipita hapo kwako jamaa ukiona mwanao kama wanafanana kuongea aibu unakufa nalo unajuliza nikiongea nitasmbiwa wakati unasaidiwa wewe ulikuwa wapi?
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Si una bwawa, dagaa wanaonekana wadogo ila ujue nao wanavuliwa kwa nyavu,!!!! Hata ulie nae atakukimbia hilo bwawa lako, na mwingine hivyo hivyo, mwisho utaitwa Malaya. Rudi kagongwe na kibamia Mama.
 
Back
Top Bottom