chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Hiyo magomeni hata rangi yake tu siijui
acha uongo madame
yani hao wanafunzi unaowafundisha hawakutiago kweli???
Hiyo magomeni hata rangi yake tu siijui
Hiyo magomeni hata rangi yake tu siijui
Umeingiza kashfa ili ubadili muelekeo wa mada. Sipo huko mie. Nimeshatoa mawazo yangu nimemaliza. Sibishani na mtu.bora umelea ndoa ukiachwa sijui utapata wapi tena bogasi mwingine na jinsi ulivyokongoroka.
Ahsante sanaNimetimiza ombi lako ES.
Kumbe unalijua hilo hongera zako...Angalia msije mkauana sasa ivi maradhi ni mengi mno.... Ila mwanaume hata kama ni mchepukaji huwa hataki Mali yake iliwe na wengine kuwa makini
Umesikia yale ya Arusha... vipi kuhusu ya Mwanza.. kweli kuchepuka raha hasa ukikamatwa au mume akisikia na akadhibitishiwa kua unachepuka,atakachokufanya hadi jamii itakaa kimya kuomboleza,uzuri dunia haichoki kufunza hatakama wazazi washindwe vipi,ikikabidhiwa inafunza.Umeingiza kashfa ili ubadili muelekeo wa mada. Sipo huko mie. Nimeshatoa mawazo yangu nimemaliza. Sibishani na mtu.
Wakati ukiwa trainee pale CRDB mwaka 2011 na utu uzima wako hujaweza hata kutumia mashine ya kuhesabia pesa unatetemeka na kapete kako cjui kalikuwa kauchumba au chakuibia wateja hela, ila baadae nakuja kugundua kuwa ni mke wa mtu ila ule mchepuko ulikuwa unafanya pale CRDB nihatari hadi stuff walikuchoka yaani hiyo omba omba na smile zakiwizikwa wateja duuuh cjui hiyo tabia bado unaendeaje nayo! maana mke wa mtu bado unachepuka huoni haya kisa kuwa teller tena trainee na uzee wote ule? Kwa maisha kama yale cjui cv yako ya kuajiriwa pale basi ilishachafuka sana. mm sio haja ya ww kujadili huu uzi hapa maana unakuhusu 100% wasiokujua wadanganye eti evelynsalt shame upon ya face
.
Kwa nilivyo soma comments zako bado hujakua, ukikua utajua ulivyoviongea ni pumba kiasi gani.
Kwa nilivyo soma comments zako bado hujakua, ukikua utajua ulivyoviongea ni pumba kiasi gani.
Asante mkuuKumbe unalijua hilo hongera zako...
Huyo mwehu asiye mkeo analilia dyudyu wanalilia pesa hivi anawajua makahaba huyu atakuwa mgeni wa mapenzi atakuwa kaingia mjini na utu uzimaEti unalilia dyudyu moja wakati huko nje zimejaa tele!! Si wendawazimu huo!!
Wanazini na majiniKwani my brother kuna dhambi ya mwanamke na mwanaume? Wapi paliandikwa wanaume wazini ila wnawake wasizini? Na kama wameruhusiwa kuzini wanazini na nani?
Wakosekane vipi wakati kutwa vijiweni kushindia viepe na mbilimbi kazi ya mke wataiweza wapi?Na hapa ndipo huwa nachanganyikiwa.
Wanawake single ni wa kutafuta ila wanaume single wamejazana. Hadi unajiuliza inamaana sensa Ilikosewa eeeh![]()
![]()
Ana matatizo yake labda alilazimishwa kuoa au alitafutiwa yaani aheshimu mchhepuko kuliko mke duu halafu aitwe kichwa cha familia atakuwa miguu ya familia huyo!Mmh unauheshimu mchepuko kuliko mke?? Au Sijakuelewa?