Kama umeamua kuchepuka wewe chepuka tu. Lakini mambo ya kusingizia mumeo ana kibamia ni utoto. Kama hawara wako anakuridhisha ni vema tu. Ki-imani ni dhambi but who are we to judge? Hata mimi nagonga wake za watu even though I am not proud of it lakini ndio ukweli. Hizi ndio zama zetu kwa bahati mbaya ndoa imekuwa taasisi ya taswira tu na si kujikita kama zamani. Ila kwa uzoefu wangu wake za watu huchepuka to fill an emotional void left empty by an emotionally and physically absent husband. Ndio maufundi ya nje wanayafurahia lakini chanzo ni upweke. Ni wachache huchepuka kwa ajili ya pesa au u-malaya kama hulka.Tatizo ni moja dada yangu, umeanza kuchepuka hutakaa kuacha. Jamaa lazima anasimamia kucha. Utakapokuja kuharibu maisha ya ndoa yako na watoto wako, kaa ukijua wanao watakuchukia daima. But until then wewe jilie tu hilo hogo la jang'ombe. Sio kitu cha kujisifia wala kubeza,ila ukweli utabaki pale pale ya kuwa si muarobaini wa matatizo ya ndoa yako. It is what we call a temporal solution to a chronic problem, it won't last.