Kuchepuka raha

Nimeskitishwa sana, nimesononeshwa sana, unatangaza jf nzima yakwamba wew unamegwa na mchepuko
 


Kweli anashangaza sio kwa upuuzi huo, halafu linaweza kuwa jitu kubwa tu lakini JINGA!
 
Reactions: nao
Huyu lazima anapigiwa tena ukute hadi anamfahamu mume mwenzie. Au ndio anayewaweka mjini, kwahiyo akiona mada ya hivi anaumia maana anaijua hali halisi.
Ndio maana stress zake anazimalizia kwetu.
Aki au ashakutana nao tayari!! We mume wa hivi usipomchepukia haki lazima uwe na cha kujibu siku ya mwisho.


Hahaha!, poor him..😀
 
wenzako wananililia wewe unaleta kiburi kisa uko nyuma ya keyboard.

wewe ukiwa mchepuko wangu nakutafuna bila kukupa ata mia. maana hujui mapenzi vizuri


Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.

Buh bye Felicia!
 
Hapa wangeshamtaja zamani role model wao Mfalme Suleiman.

Hahahaaah! eti role model wetu Mfalme Suleiman...

Anyway, dawa ya deni ni kulipa.

Hisia za mwili zinatakiwa zitimizwe na wahusika wawili walio halali. Mbali na na hao, roho chafu inashika hatamu.
 

Umefurahisha sana best!, waaay to go!

Pepooo shindwaaaaaaa!

Ooribabaaaa.....

Haha!, naona mpaka unafurika roho mtakatifu.😀
 
Ngoja nimfuate tukalikemee wote vizuri.

Mh!, mfalme Suleiman again!, yaani huko aliko he's turning in his grave jinsi mnavyo mtaja taja..
 
Duh!, kweli tunapoteza tu muda na wewe, angalia sasa akili zako zinafikiria kila mtu ana shida ya hela kama anavyochepuka mkeo kwa ajili ya hela maana Zoba kama wewe humtimizii mahitaji, si ya hali, mwili wala mali. Pole.

Buh bye Felicia!


nakutumia namba umuulize kama simpi matuzi.

tatizo lako unatembea na mariooo na mme wako anakarakta za umariooo.
 
Mfano mtu una kazi ya milioni tatu unaiachaje kwa mfano ili upate laki saba,
Okay kama ni laki 7 Hujui kando ya mshahara kuna allowances,siku ukiacha kuingia hio hela kwny account ntaishije..mana hamchelewagi kosa dogo unakata na hela, nigeuke omba omba?..
Ukifariki ghafla je?na kama biashara sijui?
Pia kwny kazi unajifunza vitu vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…