Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #61 torvic said: Hiyo mtamu mpaka kisogoni imekaa kihenga sana 😂 Enjoy. Click to expand... Basi tufanye kwenye kope! 😩😩😩 time and tide wait for no man😭
torvic said: Hiyo mtamu mpaka kisogoni imekaa kihenga sana 😂 Enjoy. Click to expand... Basi tufanye kwenye kope! 😩😩😩 time and tide wait for no man😭
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 9,178 Reaction score 32,796 Jul 8, 2025 #62 min -me said: 12% hiyo inaonekana kitasa bwashe , hapo lazima mapaja ya kuchi yahusike kwanza tumboni🤔 Click to expand... Yeah zipo vizuri, hizo ndio beer za wapiga spirit, vodka, whiskey n.k...
min -me said: 12% hiyo inaonekana kitasa bwashe , hapo lazima mapaja ya kuchi yahusike kwanza tumboni🤔 Click to expand... Yeah zipo vizuri, hizo ndio beer za wapiga spirit, vodka, whiskey n.k...
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,583 Reaction score 144,495 Jul 8, 2025 #63 Marcy said: Macho yalivyo na maji na ule weusi🤮🤮🤮Usinifanye nitapike Click to expand... Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama haya
Marcy said: Macho yalivyo na maji na ule weusi🤮🤮🤮Usinifanye nitapike Click to expand... Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama haya
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 38,072 Reaction score 57,722 Jul 8, 2025 #64 Mishikaki ya kuku
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #65 min -me said: Usipo fuga kuu mapaja ya kuku hasa kuchi utayasikia na kuyaona kwenye bomba tu bwashee Click to expand... Ulipotaja MAPAJA 😋 kuna kitu nikakumbuka...! Au basi nimekisahau🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿😂
min -me said: Usipo fuga kuu mapaja ya kuku hasa kuchi utayasikia na kuyaona kwenye bomba tu bwashee Click to expand... Ulipotaja MAPAJA 😋 kuna kitu nikakumbuka...! Au basi nimekisahau🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿😂
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #66 Msumb said: Kweli mtaalamu ni mihayo tu, natamani kweli mbuzi aisee Click to expand... Toa location usaidike faster
Msumb said: Kweli mtaalamu ni mihayo tu, natamani kweli mbuzi aisee Click to expand... Toa location usaidike faster
C Colnell Nangaa JF-Expert Member Joined Mar 15, 2025 Posts 530 Reaction score 1,087 Jul 8, 2025 #67 Mshana Jr said: Mtamu mpaka kisogoni Click to expand... Ninao hao.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #68 Marcy said: Macho yalivyo na maji na ule weusi🤮🤮🤮Usinifanye nitapike Click to expand... Yakipikwa yanabadilika rangi na maji yanapotea
Marcy said: Macho yalivyo na maji na ule weusi🤮🤮🤮Usinifanye nitapike Click to expand... Yakipikwa yanabadilika rangi na maji yanapotea
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,583 Reaction score 144,495 Jul 8, 2025 #69 Mshana Jr said: Ulipotaja MAPAJA 😋 kuna kitu nikakumbuka...! Au basi nimekisahau🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿😂View attachment 3398297 Click to expand... 🤣🤣🤣
Mshana Jr said: Ulipotaja MAPAJA 😋 kuna kitu nikakumbuka...! Au basi nimekisahau🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿😂View attachment 3398297 Click to expand... 🤣🤣🤣
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,023 Reaction score 7,284 Jul 8, 2025 #70 min -me said: Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295 Click to expand... Sawa mangi
min -me said: Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295 Click to expand... Sawa mangi
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 9,178 Reaction score 32,796 Jul 8, 2025 #71 Mshana Jr said: Duh 12%? Zaidi ya balimi😂 Click to expand... Ndio, zipo kwenye stores/groceries/supermarkets kubwa.. 12% ABV..
Mshana Jr said: Duh 12%? Zaidi ya balimi😂 Click to expand... Ndio, zipo kwenye stores/groceries/supermarkets kubwa.. 12% ABV..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #72 100 others said: Yeah zipo vizuri, hizo ndio beer za wapiga spirit, vodka, whiskey n.k... Click to expand... Bia moja ya kibabe sana
100 others said: Yeah zipo vizuri, hizo ndio beer za wapiga spirit, vodka, whiskey n.k... Click to expand... Bia moja ya kibabe sana
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,015 Reaction score 6,234 Jul 8, 2025 #73 Gily Gru said: Sijawah kula huyu kuku atakuw na nyama ngumu hatari Click to expand... Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗 Unakuta kuku mgumu alf ukigeuka watu wanatafuna kwelikweli ukigeuka watu wanakuangalia unahangaika kutafuna kuku
Gily Gru said: Sijawah kula huyu kuku atakuw na nyama ngumu hatari Click to expand... Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗 Unakuta kuku mgumu alf ukigeuka watu wanatafuna kwelikweli ukigeuka watu wanakuangalia unahangaika kutafuna kuku
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,583 Reaction score 144,495 Jul 8, 2025 #74 Marcy said: Sawa mangi Click to expand... Shalom shalom , Bwana yesu asifiwe ndugu mtumishi🥲
T Thingis JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,861 Reaction score 6,005 Jul 8, 2025 #75 Mshana Jr said: Toa location usaidike faster Click to expand... Siko bar mkuu, location nipo Nyumbani kwa bibi na babu
Mshana Jr said: Toa location usaidike faster Click to expand... Siko bar mkuu, location nipo Nyumbani kwa bibi na babu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #76 min -me said: Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295 Click to expand... Raha na ladha ya utumbo lazima unuke kidogo kale kaharufu😋😂
min -me said: Raha ya supu ya utumbo ni tule tumavi mavi , sio unaosha yanakua kama hayaView attachment 3398295 Click to expand... Raha na ladha ya utumbo lazima unuke kidogo kale kaharufu😋😂
Marcy JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 3,023 Reaction score 7,284 Jul 8, 2025 #77 Mshana Jr said: Yakipikwa yanabadilika rangi na maji yanapotea Click to expand... Kwahiyo na wew unakula macho ya kuku🤣🤣🤣🤣
Mshana Jr said: Yakipikwa yanabadilika rangi na maji yanapotea Click to expand... Kwahiyo na wew unakula macho ya kuku🤣🤣🤣🤣
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,583 Reaction score 144,495 Jul 8, 2025 #78 Marco Seth said: Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗 Unakuta kuku mgumu alf ukigeuka watu wanatafuna kwelikweli ukigeuka watu wanakuangalia unahangaika kutafuna kuku Click to expand... Vunja mifupa angali bado meno ipo.
Marco Seth said: Mm nashangaa🤔 kwenye masherehe 🍗 Unakuta kuku mgumu alf ukigeuka watu wanatafuna kwelikweli ukigeuka watu wanakuangalia unahangaika kutafuna kuku Click to expand... Vunja mifupa angali bado meno ipo.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,922 Reaction score 845,853 Jul 8, 2025 Thread starter #79 Colnell Nangaa said: Ninao hao. Click to expand... Niuzie mkuu🙏🏿🙏🏿💗
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,015 Reaction score 6,234 Jul 8, 2025 #80 🤔Mara mwisho ya kula kuku lini🤕?