Kubwa Kuliko...!

Ndivyo nnavyojua dearest. . . na mimi niliambiwa ntakua na mkaka mmoja pia. Usikute. . . . . . . . dah ngoja niulize vizuri.

Changamka, leo ni siku yangu ya kuvivuka sitaki hata kuongea kwa sauti....lol
 
Kuna hii nyingine huwa siielewi hivi,
Kanga moja mbendembende au kanga moja ndembendembe.
 
Changamka, leo ni siku yangu ya kuvivuka sitaki hata kuongea kwa sauti....lol
We dearest utavivukaje siku ya mkutano? Subiri kesho.

Nimeambiwa mmoja atakuwepo wakati wanaingia (kuwakaribisha) na mwingine wakati wakitoka (kuwaaga). Mi ntawakaribisha.. . . .
 
We dearest utavivukaje siku ya mkutano? Subiri kesho.

Nimeambiwa mmoja atakuwepo wakati wanaingia (kuwakaribisha) na mwingine wakati wakitoka (kuwaaga). Mi ntawakaribisha.. . . .

Ngoja nikalale zangu,tutaonana mkutanoni huko.....!!
 
hadi nakuakua ndo nikajua kua majina haya yaliitwa hivi
Sapeti- Elizabeth
Makreti- Magreth
Petiri- Petro
Apel- Abel
Nikolaa- Nicolaus

mh. mika-Michael
linyi-Linus
 
Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...

1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 = Rava 4
5. AC = IC
6. MAYFAIR = MAIFEA
7. BLACKBERRY = Blackaberry, Blackbel
8. VITZ = Vitis
9. Redds = Redis
Shock absorber= shoka mzoba
kabireta= carburetor
Hizi mbili zilinipa shida sana. lol
 
Back
Top Bottom