Kubwa Kuliko...!

Kubwa Kuliko...!

Na hii imekaaje ?
> Ukifika tu unidipu !
> Una vocha za Nokia ?
> Kaniletee mafuta kwenye deskintebo !
> Hembu fungua ledio klauzi !
> Ukifika tu uliza Doto ndiyo kiriofu (care of)
Duu! Vocha za Nokia tena!!!
 
Hivi huwa inakuwa ngumu kusema ni beep....hahaha..nidipu iko siku mtu atasema dripu

Bahati mbaya sana hata wasomi wazuri kabisa nao huwa wanasema deep. Kama huamini fanya simple research, alafu ludi utujuze.
 
Kuna wengine wanajidai wanaongea american english kumbe hawajui eg. I wanna go....=i wanna going......
Jamani kuna wengine wanasikia tu mmarekani anaposema shawty afu anajifanya na ye anajua mwambie aandike utaona hiki kitu shory hapo anajiona bonge la mtu hat wasanii wapo wa dizaini ka hiyo
 
Back
Top Bottom